Maswali ya interview TAESA

Maswali ya interview TAESA

Hebu tuwekee hiyo namba maana namba walizoandika kwenye maofisi yao hata hazipokelewei zingine hazipatikani kabisa
IMG_20231116_135428.jpg
 
Mtu Mbadi kuna process za kufanya taesa ili akaunti yangu ibadilike? Maana nimeshafanya interview na internship nimeshaanza tangu 1 March, lakini akaunti yangu bado inaonesha pending interview.
 
Hapo wafate ofisin kwao mkuu, japo kama ushaanza internship sizani kama kuna shida yeyote inaweza tokea na hiyo pending ya kweny account yako..
 
Training na interview ulifanya mwezi upi ?
 
Hapo wafate ofisin kwao mkuu, japo kama ushaanza internship sizani kama kuna shida yeyote inaweza tokea na hiyo pending ya kweny account yako..
Nimeshaanza internship, je kuna mkataba natakiwa kusign na taesa? Maana sijui kama nitapata hizo fedha za kujikimu.
 
Je kwa mtu aliyegraduate labda miaka 6 iliyopita lakini hakuwahi kupata ajira anaweza kuhudumiwa na taesa? Pia je wanataka watu wenye degree au hat diploma? Pia vipi unaweza kujisajili kwao kwa kuwafuata ofisini bila kupitia online? Kwa Dar ofisi zao ziko wapi?
 
Back
Top Bottom