captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Niliifanya alhamis, ulishahudhuria training?Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the test View attachment 2743967
Niliifanya alhamis, ulishahudhuria training?Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the test View attachment 2743967
Niliifanya alhamis, ulishahudhuria training?
Kuna mtu alipata 46 akaandikiwa passUnapewa marks tu kwahiy kama upo below 50 ina maan hujafanya vzr unawez kuwaomba another intavyuu
Ulifanya na aptitude testOk! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatoka
Nimefanya training na interview. Ila hiyo aptitude test bado.. aptitude test mbona kama vile bado haijaanza kutumikaNiliifanya alhamis, ulishahudhuria training?
Inatumika mkuu mifumo inabadilika kila kukichaNimefanya training na interview. Ila hiyo aptitude test bado.. aptitude test mbona kama vile bado haijaanza kutumika
Haizidi siku 3 mkuuMkuu kwani mtu akishafanya booking inamchukua muda gani kwenda kwenye training,interview mpaka kupata internship?
Sawa mkuu ... Kama kuna Mwingine aliefanya aptitude test atuambie ...Inatumika mkuu mifumo inabadilika kila kukicha
Mkuu ulifanya mwaka gani?Nimefanya training na interview. Ila hiyo aptitude test bado.. aptitude test mbona kama vile bado haijaanza kutumika
Nimefanya vyote mwezi wa 8 mwaka 2023 .. na Mimi Nina tabia haipiti siku bila kutembelea account ya taesa .. mwenzi wa 8 wote Kila siku naingia kwenye account.Mkuu ulifanya mwaka gani?
Naomba kama ikiwezekana upige screenshot tuone hicho kipengele Cha aptitude test kwako umeandikiwaje !Inatumika mkuu mifumo inabadilika kila kukicha
Naomba kama ikiwezekana upige screenshot tuone hicho kipengele Cha aptitude test kwako umeandikiwaje !
Naomba kama ikiwezekana upige screenshot tuone hicho kipengele Cha aptitude test kwako umeandikiwaje !
Nimeona mkuu ..View attachment 2744036nyingine iyo mkuu
Haizidi siku 3 mkuu
Ukishabook hapo hapo kama training Ipo wanakuonyesha na tareheDuh! ni kweli nimecheki kwenye acc naona booking tar 6 na imekuwa scheduled tar 7 mwezi huu ila hawatoi notifications kwenye email/mobile no kuhusu lini training unatakiwa uhudhurie kumbe.
Ukishabook hapo hapo kama training Ipo wanakuonyesha na tarehe
Ndio siku iyo iyoUlifanya na aptitude test
Ukishabook hapo hapo kama training Ipo wanakuonyesha na tarehe
Inabid aende ofisin kwao kama Yuko karibu, au awapigie simu watampa maelekezoKuna dogo wangu yeye alifanya booking tarehe 6 na kumbe walifamuwekea tarehe 7 aende kwenye training ila akazembea na tarehe imeshapita nimeshindwa kumwambia aende ata j3 tu ndio kamaliza juzi tu chuo.