Maswali ya interview TAESA

Maswali ya interview TAESA

Je kwa mtu aliyegraduate labda miaka 6 iliyopita lakini hakuwahi kupata ajira anaweza kuhudumiwa na taesa? Pia je wanataka watu wenye degree au hat diploma? Pia vipi unaweza kujisajili kwao kwa kuwafuata ofisini bila kupitia online? Kwa Dar ofisi zao ziko wapi?
Jisajili online tu au kama unataka uhakika na maelekezo zaidi nenda ofisini kwao ,ofisi zao zipo mkabala na chuo Cha CBE posta
 
Habar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa.

Shukrani
Brooooooo... Apply for the job even if you don't think you meet all of the requirements. Let THEM disqualify you, never disqualify yourself. Never be the one who says no to yourself.
 
Brooooooo... Apply for the job even if you don't think you meet all of the requirements. Let THEM disqualify you, never disqualify yourself. Never be the one who says no to yourself.
kama umeshafanya interview namajibu yametoka 60+ itakuchukua sikungapi kupangiwa internship?
 
Back
Top Bottom