Maswali ya interview TAESA

Maswali ya interview TAESA

Unapewa marks tu kwahiy kama upo below 50 ina maan hujafanya vzr unawez kuwaomba another intavyuu
Ok! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatoka
 
Kipindi nafanya mm aptude test haikuwa tayaar tuliambia mfumo wa hiyo kitu bado hawajauweka sawa..july hii..
Tukafanya zingm nikascore 78 interview
Itatoka just wait
 
Hiyo ilikuwa ni optitude test au? Maana majibu yake yanatoka hapo hapo
 
Oral? Kwan taesa now wana interview ngap? Mm nilifanya training hapo hapo tukapiga interview oral ndo hizo maks wakaniwekea kwenye acc
Nadhan ni mbili iyo online test Yao, na oral after training...huwa wanachukua Mda gani kuyatoa? Maana kweny ACC yangu naona majibu ya optitude test Tu...sehemu ya oral interview bado Iko pending, Ila training na optitude kuna tick
 
Watakuwekea tu mm ilikaa kama four days hivi
 
Ok! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatoka
Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the test
Screenshot_20230909-150138.png
 
Back
Top Bottom