Maswali ya interview TAESA

Sidhan maana Ile nahis ni kupima Tu uelewa wako juu ya training Yao Ila wako vizuri sana binafsi Jana nimekuwa mmojawapo tuliopata training na interview nimejua mengi Sana, Taesa wako vizuri sana
Inafeli vizuri kabisa na unarudia interview,
Mkishafanya interview baada ya siku moja kwenda mbele muangalie kwenye account zenu huwa wanaweka matokeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom