Maswali ya interview TAESA

Maswali ya interview TAESA

Training na interview nimefanya lakini matokeo sijawekewa
 
Na hivi hao TAESA na UTUMISHI wana uhusiano gani?
uhusiano wao ni kwamba zote ni serikali TaESA ipo chini ya ofisi ya waziri mkuu wizara ya ajira vijana na watu wenye ulemavu. ila haina jukum la kuajiri wafanyakazi wa serikali wa kudumu.

utumishi ni utumishi jukum lake ni kuajiri wafanyakazi wa serikali na kuwasimamia
 
Back
Top Bottom