Maswali na ushauri kwa Malinzi

2.jpg

Majuzi Hollyman alifungua thread ya aina hii. Nia na lengo lake lilikuwa ni zuri, namshukuru.

Nimeamua nifungue mwenyewe hii thread ili iwe ni uwanja wa kudumu wa kuniuliza maswali, kutaka ufafanuzi na pia kutoa ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu.

Kwa ruhusa ya moderators ninaomba uwe ni ukurasa wa kudumu hapa JamiiForums.

Jamal Malinzi,

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu

Dar es Salaam

4 Februari 2014.
Mh,Rais wa TFF.
Naomba sana Tanzania iwepo kwenye Livescore,ili tuweze kupata matokeo ya kandanda kwa wakati.Hata kutambukika kimataifa ili wachezaji wetu wapate fursa kimataifa na kuinua soka letu.Ni hayo tu
 
Huyo anawaza Yanga ataitoa vipi.
 
Malinzi komaa tu (kama awamu ya nne ilivokuwa ikifanya) kwa kukaa kimya kwani ni upepo tu huu.
 
Malinzi kila siku mnampa Ushauri je yeye anaushauri gani kwetu? kuhusu sie tunataka Rubaman apewe nafasi yake? angalau siku angekuja hapa akasema vijana angalau watatu nawalika tukae chini muongee na mie uso kwa uso kutoka jamiiforum.
 
2.jpg

Majuzi Hollyman alifungua thread ya aina hii. Nia na lengo lake lilikuwa ni zuri, namshukuru.

Nimeamua nifungue mwenyewe hii thread ili iwe ni uwanja wa kudumu wa kuniuliza maswali, kutaka ufafanuzi na pia kutoa ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu.

Kwa ruhusa ya moderators ninaomba uwe ni ukurasa wa kudumu hapa JamiiForums.

Jamal Malinzi,

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu

Dar es Salaam

4 Februari 2014.
Mkuu Malinzi hivi mpaka leo ni maswali mangapi uliyoulizwa na ukayajibu ?
 
Na wasi wasi na AKILI za kufikiri za Jamal Malinzi
Anagombea na kushinda Mkoa wa Kagera kama Mwenyekiti
Ana wasi wasi wa nn kama anafanya vyema hadi kugombea mkoa?
Yy ni kiongozi wa juu wa TFF why anaenda tena kugombea Mkoa?
Huyu jamaa ana matatizo ya ubongo au?
Please mnao mfahamu toka zamani mtuambie
 
Umekuja na matusi na si kujenga hoja? Kimekukera nini, as long as sheria inamruhusu sioni tatizo kugombea mkoa!

He is good upstairs! Alisoma Chemical and Processing engineering UDSM---80's, (miaka hiyo university iko moja) akitokea Ilboru shule ya vipaji.
Then West Germany (before unification) akasoma Masters field hiyo hiyo. Hivyo yuko vizuri kichwani.
 
Hayupo vyema kichwani
Ana elimu ya kusoma vitabu tu
Angekuwa OK UPSTAIRS as you claim angetumia common sense kwanza kabla ya elimu ya class
Hata kuwa na MAHAWALA Rais wa Jamhuri ya Tanzania hajazuiwa kwenye katiba
Lkn hawafanyi sababu ya ETHICS
Sometimes ETHICS zinakuwa na nguvu kuliko sheria
Hata kama katiba inamruhusu,inaingia akilini kwako Rais Magufuli agombee Ubunge wa Jimbo la CHATO?
 
Haupo vyema kichwani
Ana elimu ya kusoma vitabu tu
Angekuwa OK UPSTAIRS as you claim angetumia common sense
Hata kuwa na MAHAWALA Rais wa Jamhuri ya Tanzania hajazuiwa kwenye katiba
Lkn hawafanyi sababu ya ETHICS
Sometimes ETHICS zinakuwa na nguvu kuliko sheria
Hata kama katiba inamruhusu,inaingia akilini kwako Rais Magufuli agombee Ubunge wa Jimbo la CHATO?
Yani Rais (m/kiti CCM Taifa)agombee uenyekiti CCM Mkoa wa Geita
 
Huyu jamaa ana matatizo ya kufikiri!Hajiamini ktk nafasi yake na nina uhakika mwakani wajumbe watamfukuza!

Toka aingie madarakani ni porojo tu!We are in worst position at FIFA rankings than ever before!
 
Hayupo vyema kichwani
Ana elimu ya kusoma vitabu tu
Angekuwa OK UPSTAIRS as you claim angetumia common sense kwanza kabla ya elimu ya class
Hata kuwa na MAHAWALA Rais wa Jamhuri ya Tanzania hajazuiwa kwenye katiba
Lkn hawafanyi sababu ya ETHICS
Sometimes ETHICS zinakuwa na nguvu kuliko sheria
Hata kama katiba inamruhusu,inaingia akilini kwako Rais Magufuli agombee Ubunge wa Jimbo la CHATO?
Umedai elimu yake, nimekupa. Hayo ya ethics was not an issue raised in your "plaint"!. I will come back you on ethical issue with regard to Chato business!
 
Mkuu unaweza kupata elimu "nzuri" lakini una maamuzi ya kipuuzi, yasiyo ethical, logical kama Malafyale "nadhani" anavyosema. Ukiwa kiongozi wa kitaifa then hapo hapo uwe kiongozi wa kimkoa hapo panaleta conflict Fulani ya interest. Ilitakiwa mtu tofauti aongoze sijui KRFA or whatever inavyoitwa. Viongozi wa mikoa navyodhani wanatakiwa kuripoti kwa TFF sasa ukiwa kiongozi wa kimkoa then awe kiongozi wa kitaifa ataripotije ubovu wa chama cha mkoa anaouongoza? (Hypothetical talking). Kuna vitu vyingi huwa vipo vipo Bongo na kwa vile tumeshazowea hatu-question kwa kuogopa tutaonekana wabaya na waleta fujo/ vunja amani as it is put by the Magufuli/CCM reign. Hiki kitu kimetudumaza akili na maono yetu.
 
rubaman
Huyu mtu wa home hajitambui!Ingawa ni bojo mwenzangu lkn kwa hili hana maana hata kidogo!
Kuwa Mwenyekiti wa Mkoa ina maana atajipigia kura ktk uchaguzi mkuu;hapo kajiongezea kura 1 sandukuni!

Calculation ya hovyo kabisa isiyo ya kidemokrasia
 
Jamani mnaomchambua huyu mbwiga wa mbwiguke wa soka hamwoni kua mnapoteza muda ambao ungetumika hata kufanya mambo mengine?
Huyu ni hopeless and empty minded person asiye na upeo wa kuongoza soka. Mwizi, mroho, kibaka wa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.
 
Back
Top Bottom