maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by toghocho, May 17, 2011.

 1. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani mimi kitu kinanishangaza ni haya majibu ya wanawake wanapopigwa sound au kutongozwa, kwa mfano
  mwanaume; mi nataka niwe na wewe
  mwanamke; nina mtu.
  mwanaume; kwa hiyo?
  mwanamke; ndo hivyo..
  mwanaume; kwahiyo hunipendi, hunitaki?
  mwanamke; sio hivyo, nimekwambia nna mtu..
  kinachonishangaza:hivi kwani kinachowaweka watu pamoja ni kwa sababu hawana watu au kwa sababu wanapendana?
  kwanini wanawake hawako direct?
  angalia na hii;
  mwanaume; nakupenda sana, nataka niwe na wewe.(na maelezo mengine mengi kama kawaida)
  mwanamke; mi siko tayari
  mwanaume; hauko tayari vipi yani?
  mwanamke; kuwa na mtu kwa sasa..
  mwanaume; kwanini
  mwanamke; sijisikii tu
  mwanaume; kwahiyo pendo langu unalipotezea?
  mwanamke; hapana, siko tayari tu, labda mbeleni huko
  mwanaume; kama hunitaki sa hivi huko mbele ndo utanitaka?
  mwanamke; sio kama sikutaki, sema tu sijapanga kuwa na mtu sa hivi, huko mbele si unajua hakuna ajuaye future!!
  kinachinishangaza kwanini asiseme tu, sitaki sikupendi? afu kwani m2 huwa anapanga kuwa na m2 au anafall tu!!?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Akikwambia ana mtu anakua ana maanisha tayari anapenda na kupendwa kwingine!!!

  Kuhusu hiyo ya kutohitaji mtu na kama mtu anapanga kupenda au anapenda tu inahitaji maelezo zaidi.Kwanza inawezekana kabisa kumpenda mtu na usiwe nae kwasababu ya mikakati uliyojiwekea...ukielewa hilo utagundua kwamba hapo tatizo sio kupenda au kutokupenda bali ni kile kitendo cha kua na mtu!Pili wewe unapomfuata msichana kumtongoza kwasababu wewe umempenda haina maana kwamba na yeye atakua amekupenda tayari hata kama atakukubalia maana kuna uwezekano hakufahamu kiundani!!Wat wengi wanapenda kiakili
  zaidi.....ajue kwanza wewe sio mume wa mtu...una kagari...umesoma...sio mlevi n.k
  ndo aachie moyo wake kua huru juu yako!!

  Alafu unaposema kwanini mtu asijibu tu sikutaki au sikupendi kwani hayo maswali ya kwanini hunitaki hua yanatokana na nini.???Si mnaambiwaga hapana then mnaaza kutaka sababu....nazo mkishapewa mnataka kujua sababu ya sababu mpaka mtu anaboreka.Anzeni kuchukua HAIWEZEKANI kama haiwezekani na kusonga mbele muone kama kutakua na maneno mengi.Tatizo hapa ni kwamba wale wa no means yes wataachwa sana solemba!
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ewe ndugu; tafadhali sana, siku zote unapozungumza na mtu, hasa kuhusu maswala yanayoweza kugusa siri ilioko moyoni mwake, fahamu kuwa mara zote kila mtu huzungumza lugha mbili kwa pamoja; yaani "oral language" na "body language". Oral language is normally easy to be understood by the audience, but it also normally easy to deliver lies.... While body language mostly is very difficult to be understood by the audience, but under normal circumstances, nobody can lie through it, unless s/he has got strong preparations for....! Kwa hiyo mara nyingi mwanamke anapotokewa, hujikuta akizungumza lugha hizi zote kwa pamoja.... lakini yeye mwenyewe bila kujitambua hujikuta akizungumza vitu tofauti kabisa kati ya lugha moja na nyingine....! Kwa hiyo wewe unapaswa kuzungumza na "body language" na siyo "oral language".....! It is through "body language" you can catch a woman and understand her perfectly....! Please, read this between the lines... you may get some points sir/madam....!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wanaume ujanja wanapokuanza ila ukitaka mnyamazisha anapojiweka karibu na wewe mpe kavukavu na kwa gafla NAKUPENDA uone wanavyonywea.

  Kuna mkaka bishoo mtaani kwetu akiniona anajificha manake nilimuumbua kwa kumpa hiyo mbele ya marafiki zake pindi nilipoona ananizengea.
  Duh mara akawa domo zege nikashindilia kama nitakavyo
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  We vipi umepotelea wapi na lile hitaji lako la mzungu? Mbona hujanijibu basi?
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ze sred is dead and gone
  Niliupoke ushauri wenu so nimefuta lile wazo
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Okay, lakini nimetoka nje na A-town kidogo, Nitakaporudi nitaku-PM walau tufahamiane... hahaha... japo sio kwa maswala ya kizungu tena....
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  well and good utaisoma
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  juzi imenikuta scenario kama hii......lakini kumbe alikuwa anamaniisha yes.......halafu huwa anavinga kweli mara aktaanza na kingereza chake hapo.......am am am, ..the thing is.....im not ready to b in r/ship....baadae ukikauka ukajifanya huna taimu nae utaoana anaanza kuja......inakuwa rahisi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity....unabeba mzigo na kutua ndani
   
 10. T

  Tall JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hawapo straight kwa vile na sisi wanaume mara nyingi hatuko straight.
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Hapo penye red ni kweli kabisa, hivi ni kwa nini ukishamweleza Binti lengo lako akakuzingua, ukimpotezea ndo inakuwa kama umempa kasi ya kujileta kwako? Wataalam hebu tujuzeni aisee....
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sijui ladies waliumbwa kwa formation ipi huwa sitongozaji kwa spidi namkuta mtoto naonyesha intention akishaelewa akesema sipo ready huwa sivungi nasepa kumbe smtime anakuwa anafeel attration ss sipendi drama utakuta miscall mara hi, maana hii game haina sense ladies Attraction has no choice if u feel smbdy funguka tu ile ya love is blind nowdays haipo kihivyo.
   
 13. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Code:
  
  
  umeona eeh, hawako strait, cha kushangaza ukimpotezea ndo anaanza ooh ulikuwa unanijaribu!!
   
 14. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Code:
  
  
  sisi wakati mwingi tupo strait lakini wao mara chache sana wako direct, mara chache sana
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kutongoza ni kushawishi na wala sio kama unaenda kununua embe sokoni kwa kutarajia jawabu ya "zipo au hazipo". Ikiwa lengo lako ni "hit and run", ukiambiwa hapana maana yake ni hapana na hakuna jawabu mbadala. Ikiwa una lengo hilo, nafikiri maeneo ya kuwapata watu wa aina unayotaka yapo na kule hakuna maneni mengi. Lakini ikiwa una malengo ya muda mrefu basi ukubali kuwa mvumilivu na pengine king'ang'anizi katika mchezo wa "seek and hide". Hii itakupa muda wewe mwenyewe kujielewa kama kweli una nia na itampa muda mdada kukuelewa zaidi.

  Kitu cha muhimu katika kutongoza ni kueleza lengo lako tangu mwanzo na kuwa mkweli.

  Sishangai kuwa wadada hawako wawazi na kutamka mara moja (open & straight) kwa sababu na sisi wanaume hatuko hivyo. Mara nyingi huwa hatuwatendei haki dada zetu pale tunapowakabili kwa maneno matamu ya ushawishi yaliyojaa usanii na uongo tele kumbe tunataka kujiridhisha shida zetu kwa muda na baadae kupotea. Kigugumizi chao kinakusudia kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Please acha kutongoza wanawake wa aina moja..... Badilisha kidogo.. Na usi-generalise majibu ya woote yako hivyo...
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yaani kuna wa aina ngapi?
   
 18. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Una uhakika Lizzy? anaposema hivyo wengine wana maanisha wanakuregezea njia, tumekuwa tuna wapata wengi tu hata humu JF kwa njia hizo kwanza ngoja nianze na wewe baada ya kusahau hii thread kama utaweza kukataa, maana nimekudondokea sana.

  Nimefanya deligence test Mpaka kwa wake za watu wanawake wa sasa hakupewa kukataa, labda husikomae ukikomaa hata mke wa mtu unagonga.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nna uhakika sana....ila sio wote sasa!!

  Mmmh unataka kunijaribu eehhhh???!Haya tuone hayo maneno unayowadanganyaga nayo hao unaosema hawana kukataa!!
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Lizzy, umenikumbusha SITAKI NATAKA!
   
Loading...