Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Habari zenu wadau.
Hivi hamjapata tetesi lini uhamiaji wataita watu kwenye interview? Mana nilisikia ndani ya mwezi huu wa May mambo yatakua hewani.
 
waendelee tu kukaa kimya, ngoja tumalizane na tpdc kwanza then tuje huko haaaaa
 
Mi ninachojua ni end of this may kama umepita utaitwa kama umekosa usikate tamaa mpk next year jaribu tena
 
Dah yan nilishasahau kama niliomba uhamiaji. Hv walitoa post gan hv kwa ngaz ya degree?
 
Watu wengine bhana, jifunzeni kuandika kichwa cha habari kinachoendana na maudhui basi. Duuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom