Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

nashukuru mjadala huu umeishia hapa leo hivyo basi nawaomba msichangie tena hadi hapo tutakapotangaza majina yenu baada ya mei mosi kwa sasa tunajianda kwa ajili ya gwaride la muungano na sherehe ya wafanyakazi. naomba mtulie kwa maana njia uliyopitia kupata tangazo ndio njia utakayopitia kupata taarifa za usaili.
nakutakia heri ya mei mosi na maandalizi mema ya kupata ama kukosa.
 
masuala ya uhamiaji si ya kuyawazia hata kidogo.. Tuombe atusaidie ktk harakat zingine.. Tuko pa1 wadau..
 
uhamiaji uhamiaji majina yametoka source website ya idara ya uhamiaji :
 
Mkuu mgonjwauki-google website ya uhamiaji bilabila.. ILA KUNA HAWA JAMAA WAMEWEKA UPDATES KWAMBA WAMEWEKA LIST OF THOSE SHORTLISTED APPLICANTS..ila haifungui chochote...
cheki hii attachment hapo....USIWAWEKE WATU NA TENSION HIVYO..
 

Attachments

  • 1398831986817.jpg
    1398831986817.jpg
    68.2 KB · Views: 479
Last edited by a moderator:
Vuteni subira kuanzia tarehe moja watatoa. Najua majibu hayatakuwa mazuri kwawengne naomba mvumilie coz maisha co uhamiaji tu maisha kokote. Na nawapa hongera wale Wataoitwa.
 
kama huna good baba toa mawazo ya kupata nafasi.tujumuike turudi kijijini tukaanze kulima nyie vipi.
 
Punguzeni kelele wadogo zangu mtakuja kukosa na hizo kazi mnazozisubiria muaibike buree!!!
 
Hii thread ni miyeyusho tu tarehe nyingi afu hamna lolote bora ibaki unknown siku wakitoa iwe yametolewa sio rusha roho mwa mwi day 2 day
 
Back
Top Bottom