Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Watu wengine bhana, jifunzeni kuandika kichwa cha habari kinachoendana na maudhui basi. Duuh
Hahahahahahl GPL CERTIFIED...
Watu wengine bhana, jifunzeni kuandika kichwa cha habari kinachoendana na maudhui basi. Duuh
Watu wengine bhana, jifunzeni kuandika kichwa cha habari kinachoendana na maudhui basi. Duuh
Dah yan nilishasahau kama niliomba uhamiaji. Hv walitoa post gan hv kwa ngaz ya degree?
jana lako limendi kwa kwa penseli so take care
Gazeti la leo uhuru linahusika
jamaa waliweka majina kwenye website yao dakika kumi wameyatoa na jina langu lilikuwepo da sijui wakirudisha tena litakuwepo dah jamani uhamiaji uhamiaji mtatua na presha

nilikua naota jamani ndo namka sasa hivi jamani mi mgonjwa !! malaria ni hatari