Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

waendelee tu kukaa kimya, ngoja tumalizane na tpdc kwanza then tuje huko haaaaa

Ukawa, inaonyesha ulivuka vema ktk mchujo wa written interview ya TPDC, thus, I congratulate you and wishing you good lucky boss.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
kumbe hata wewe umewabaini hawa watu, kwanza depo la uhamiaji linafanyikia ccp, moshi, sio mbeya, huwa wanafanya na polisi, sababu askari wa uhamiaji ni sawa sawa na hawa polisi ila tu utofauti upo ktk uniform zao na baadhi ya utendaji kazi zao

unaish kwa mazoea.. Me nilifanya mafunzo mbeya.. Na askar magereza.. Talk with fact
 
Usiwe na haraka kijana... Mambo taratibu.... Nilikua naongea Leo na Mkuu Wa uhamiaji Wa iringa kanambia wiki mbili hizi haziwezi isha kwani kuchambua barua washa maliza.. Na zile za wtu Wa shahada zilijaa chumba kimoja fullll
 

Attachments

  • FB_IMG_13980968261860992.jpg
    FB_IMG_13980968261860992.jpg
    27.5 KB · Views: 793
sasa hapa ndugu zangu itakuwaje mtu unaenda kusaini ajira zimamoto mara na huko uhamiaji nako ukaitwa kwa ajiri ya usaili napo pia ukaitwa kwa kazi je hapa itakuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom