Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

Yaani ajira za siku hizi kama huna mtu aliye juu na ana nafasi nzuri basi ujue utaatamia vyeti na kumaliza sole za viatu mpaka baaaaaasi! Unasoma kwa shida na kupata kazi kwa shida dahhh!
 
Jamani kwa tetesi nilizopewa na kigogo mmoja anayefanya uhamiaji ni kwamba vimemo ni vingi sana hadi haijulikani kama hata watoto wa maskini watapa nafasi.

Ushauri, kwanini serikali kwa idara kama hizi za ulinzi wasipeleke usalama wa taifa wafanyie watu usaili, nakumbuka nilifanya interview moja pale fire kwa nafasi ya sagenti ila baada ya kutoka tu, vijana walikuwa na majibu hadi nikashangaa.

Sijawahi kuona kwa maana ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.

Mwisho nahuzunika sana tena sana, naililia nchi yangu, nalia sana kwa kuona sisi watoto wa maskini tunasoma kwa shida, tunamaliza kwa shida na kuwa na malengo ya kukomboa wazazi wetu walioko vijijini, then ajira nayo tunatafuta kwa shida zaidi ya shida nilizopata kipindi nasoma.

NAUMIA SANAMKOMBOZI WANGU SIO ELIMU TENA KWANI HATA YENYEWE HAINIPI UWEZO WA KUJIAJIRI
 
Jamani mbona mnanitisha wewe mtoto wa maskini kama mimi hacha kulia simama songa mbele hata vimemo vikiwepo mwisho wa siku mungu anajua namna ya wewe kufanikiwa tu! Mi mwenewe nimeomba bt sina pressure cz na mwamini mungu tu!
 
#Ndg kapompola, tumesaulika, nina degree sasa na degree yenye hadhi sana na kama ningekuwa mtoto wa kigogo kama #ridhione tungekuwa tunaongea mengine!
#Ila Mungu anajua, yeye alituumba na anajua wapi tutaishia
 
Jamani kwa tetesi nilizopewa na kigogo mmoja anayefanya uhamiaji ni kwamba vimemo ni vingi sana hadi haijulikani kama hata watoto wa maskini watapa nafasi.
USHAURI.
#Kwann serikali kwa idara kama hizi za ulinzi wasipeleke usalama wa taifa wafanyie watu usaili
#Nakumbuka nilifanya interview moja pale fire kwa nafasi ya sagenti ila baada ya kutoka tu, Vijana walikuwa na majibu hadi nikashangaa!!!!? Sijawahi kuona kwa maana ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.%€
#Mwisho
Nahuzunika sana tena sana, naililia nchi yangu, nalia sana kwa kuona sisi watoto wa maskini tunasoma kwa shida, tunamaliza kwa shida na kuwa na malengo ya kukomboa wazazi wetu walioko vijijini, then ajira nayo tunatafuta kwa shida zaidi ya shida nilizopata kipindi nasoma!!!!NAUMIA SANA®
###MKOMBOZI WANGU SIO ELIMU TENA!! KWANI HATA YENYEWE HAINIPI UWEZO WA KUJIAJIRI####
%........



Pole Mkuu ndo maisha hayo
 
kwani maswali yalikuwa magumu ?ila sio mbaya kwakuwa ndio intavyuu ya kwanza lazima kwanza ulitetemeka kidogo kwenye oral ngoja j3 uhamiaji wakitoa majina nitakupm maswali ujiandae. ila inaonekana iyo degree yako ndio inakufanya ujionee kuwa wewe uwezi kosea .vijana wengi tuliomaliza vyuo ivi karibu huwa hatujiandai namna gani ya kujibu maswali . mfano swali la kwanza tell us about you basi mtu anaanza kuelezea ukoo na shida zake mpaka basi. jaribu kugoogle ujue ijnsi ya kujibu maswali
 
Jamani kwa tetesi nilizopewa na kigogo mmoja anayefanya uhamiaji ni kwamba vimemo ni vingi sana hadi haijulikani kama hata watoto wa maskini watapa nafasi.

Ushauri, kwanini serikali kwa idara kama hizi za ulinzi wasipeleke usalama wa taifa wafanyie watu usaili, nakumbuka nilifanya interview moja pale fire kwa nafasi ya sagenti ila baada ya kutoka tu, vijana walikuwa na majibu hadi nikashangaa.

Sijawahi kuona kwa maana ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.

Mwisho nahuzunika sana tena sana, naililia nchi yangu, nalia sana kwa kuona sisi watoto wa maskini tunasoma kwa shida, tunamaliza kwa shida na kuwa na malengo ya kukomboa wazazi wetu walioko vijijini, then ajira nayo tunatafuta kwa shida zaidi ya shida nilizopata kipindi nasoma.

NAUMIA SANAMKOMBOZI WANGU SIO ELIMU TENA KWANI HATA YENYEWE HAINIPI UWEZO WA KUJIAJIRI

najua uhamiaji utaitwa ila ukiendelea na mawazo hayo tafuta jembe ukalime. sikupingi nasikia kujuana kupo ila kama ukijipanga vizuri kujibu maswali wenyewe wataona aibu. mfano pale ukiulizwa TELL ME SOMETHING NEGATIVE YOU'VE HEARD ABOUT OUR DEPARTMENT.utajibu vipi kama sio utaponda kuwa umesikia kuna kujuana ndio upate kazi.
itakula kwako wanakutosa na degree yako
 
kitakacho tokea hamtoamini.tupange mikakati ya kujiajiri tu basi hizo whitecolour job now kupata ngumu kwa cc. masikini tusio na good father.
 
Mwenyezi mungu ndo muweza wa yote,yey akipanga yes hata ziwepo memo ngap nafas utapata,na yy akshapanga yes hakuna mwanadam atakaesema no
 
Back
Top Bottom