Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

naombeni mwenye kujua habari kamili kuhusu uhamiaji ni kweli wametoa majina? na kama ni kweli hayo majina yapo kwenye website gani na kama bado tunaomba mwenye uhakika atujuze mana wengine tunahangaika sana ili kujua ukweli wa habari hizo.
 
Kwa kweli kila mtu anasubiri matokeo ya hao watu wanaoitwa kwenye usaili!!
Tuwe na subira tuone itakavyokuwa....
 
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!
 
Hongera wewe kwa kuwa na kazi lakini kumbuka ulipata kazi ukiwa huna kazi mana hamna mtu anayezaliwa na kazi. Kwa hiyo tuache tusubiri mana Mungu ndo anayejua na siyo wewe unayejifanya mtabiri.
 
Majina ya uhamiaji vp jamani'''' kama yupo mwenye taarifa tujuzane kupitia hata kwenye text 0787 746316 maana huku kwetu cha access ya net mpaka ufunge safari.
 
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!
Wewe hiyo kazi yako ya kwanza uliipata ukiwa na kazi?
 
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!

Inaelekea unadharau sana wewe!
 
ni kuomba mungu tu jmn nilienda ofc za uhamiaj nilichokiona kule inasikitisha kna counter lna majina kbsa ya waliopendekezwa wanachofnya wanachambua ile mibahasha wakitafta yale majina yalioandikwa kwa mapendkzo ya mabosi aisee znavyochnwa applications za watu inatia huruma maana ni hela ndo inachanwa pale..baba yngu mkubwa yupo pale nilienda kumuomba anisaidie nipate kazi ila nilichelewa waliowah kumuomba alishapeleka majina yao cz kila ofisa alipewa idadi ya watu wa kuwaingiza aisee hii ndo tanzania hta mm nasubir miujiza ya mungu hpa
 
Inaelekea unadharau sana wewe!

Mi sina dharau mkuu! ila mi nawaonea huruma vijana wenzangu wanavyohangaika na uhamiaji. Kweli usilolijua ni usiku wa giza! Hata mimi niliomba uhamiaji ili nibadilishe kazi, lakini nilichoambiwa na wakubwa wenyewe kuhusu hizo nafasi sina ham! Mi ndugu yangu aliniambia kwamba kwanini sikumpa taarifa mapema kama nimeomba ili anisaidie, ila sasa imeshakua too late b'se wapo tayari walotengewa hizo nafasi. Tena kanishauri kwamba hata nikiitwa kwenye interview niende kupata experience ya interview tu ila sio kwa lengo la kupata kazi. Kila boss anawatu wake tayari. Labda watawaachia nafasi moja au mbili watakao fanya usaili wengine ambao hawana mchongo wowote.
 
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!

Kama na wewe ni mtoto wa kiume basi wazazi wako wanahasara.

Jifunze jinsi ya kuwasilisha ujumbe na upunguze dharau.
 
kuna jamaa lina dharau sana,eti omba kazi ukiwa na kazi,hiyo kazi ya kwanza umetupa wewe?Kwani ungejibu kama ulivyojibu mara ya pili ungepungukiwa nini?Kweli maskini akipata....
 
kwa Mungu hakuna kitu kinachoshindikana japo mie kuna mtu kanipa uhakika lakin naye ni mwanadamu tu anawakubwa zake mtegemee Mungu tu ye ndiye mwanzo na mwisho.pamoja tutashinda
 
Vijana mtahangaika sana! mtakufa na presha bure; uhamiaji inawenyewe, kwenye interview mnaweza kuitwa ili kutimiza wajibu tu, lakini nafasi zinawenyewe! Chamsingi tafuteni kazi mkiwa na kazi; sio mnaomba kazi mkiwa vijiweni mnapiga majungu tu! vinginevyo mtasugua sana benchi mtaani mpaka mtaja......mba! teh teh teh teh!

Siku zote -------- huwa hakumbuki alipotoka, yaani wewe ulipata kazi pindi hauna kazi leo unaanza kuwatukana ambao hawana kazi na wanaomba kazi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom