Bonge la uzi wakwetu, ila watakuja wajuaji wa JF watasema umeandika UtopoloKwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;
1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.
2.Unafanya nini
3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.
4.Umevaaje leo honey?
Ni upendo uliopitiliza... 😀Ilo swali la 4 Ilo, wanaume wengi huwa wanaenda mbali. Acha nikae kimya kwanza.
Ilo swali la 4 Ilo, wanaume wengi huwa wanaenda mbali. Acha nikae kimya kwanza.
Ngoja nikutie moyo, ukijiona hujamkuta mwenzanko bikira huna sababu ya kuumiza kichwa, tafuta hela kama wanavyootusia, na wewe siku moja moja kamata shangingi osha rungu.Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;
1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.
2.Unafanya nini
3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.
4.Umevaaje leo honey?
Naibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.Huu Uzi unatuhusu sisi ambao wake zetu wamehamishiwa Dodoma na sisi tumebaki Dar na watoto.
Ndio maana hatupatagi usingizi.
Unahisi hisi tu.
Mimi nikilala iko pembeni yangu nimeiwekea mkono napata amani Sana.Naibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.
Hebu badirikeni. Mkitaka kuona hizo nyapu ni useless tu sometime kaa na madaktari au wakunga.
Nioneshe daktari haswa unayemjuwa wewe uniambie kama anasumbuliwa na hayo madude.
Njoo nikuonyeshe,, Tena sio daktari wa mchezo mchezoNaibu Spika Musa Zungu mke wake anaishi Uingereza muda mrefu tu.
Hebu badirikeni. Mkitaka kuona hizo nyapu ni useless tu sometime kaa na madaktari au wakunga.
Nioneshe daktari haswa unayemjuwa wewe uniambie kama anasumbuliwa na hayo madude.
Sisi wazee hutunaga hizo.Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;
1.Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana,Bila kujua ni muhimu sana kwa Usalama wao.
2.Unafanya nini
3.Umekula nn leo-Labda ulikula Sumu ukapata madhara ukawa huna fahamu,Kama ulimwambia mpezi wako utarahisisha uchunguzi.
4.Umevaaje leo honey?
Ukiwa una umiza kichwa jinsi ya kupata ada shule za watoto na mahitaji mengine ya familia, huo muda wa kuuliza hayo maswali unaupata wapi?Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo;