nchi ngumu sanaHiyo ni Iptl nyingine tu na watu ni wale wale.
Wanaitafuna nchi yetu as if wataishi milele na hayo mapesa yetu wanayojichotea.
Kama Taifa bado tunasafari ndefu sana tunapenda kubadilisha ajenda hili kufanikisha ulaji wa watu sasa Lissu anahusikaje huku unaambiwa malipo yamefanyika bila kuzingatia mambo hayo au hujasoma Hoja ya Mpina?Walikuwa wanamwita Lissu "MIGA" na kumkebehi kwamba ni mwehu. tulipe tu hakuna namna!!
Inahusiana. Lissu alisema tatizo letu liko kwenye mikataba yetu tunayoingia na hao wanaotudai. Na alishauri mambo ya mikataba yaangaliwe upya. Na Rais Samia Suluhu ndiyo maana kasema kuwa ni lazima SASA mikataba yote ipitie kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Kama Taifa bado tunasafari ndefu sana tunapenda kubadilisha ajenda hili kufanikisha ulaji wa watu sasa Lissu anahusikaje huku unaambiwa malipo yamefanyika bila kuzingatia mambo hayo au hujasoma Hoja ya Mpina?
Hakuna mkataba wa Serikali unaosainiwa bila kupitia kwa Mwasheria Mkuu wa Serikali.Inahusiana. Lissu alisema tatizo letu liko kwenye mikataba yetu tunayoingia na hao wanaotudai. Na alishauri mambo ya mikataba yaangaliwe upya. Na Rais Samia Suluhu ndiyo maana kasema kuwa ni lazima SASA mikataba yote ipitie kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Tunalipa kwa kuwa tulikiuka mkataba na mahakama za kimataifa ndizo zimeamua hivyo.
Kama ilikuwa ni hivyo ni kwa nini basi Rais Samia Suluhu alisema "kuanzia SASA...mikaba yote ni lazima ipitie kwa Mwanasheria Mkuu" ina maana Rais hana taarifa sahihi kuliko wewe!!??Hakuna mkataba wa Serikali unaosainiwa bila kupitia kwa Mwasheria Mkuu wa Serikali.
Hayo maombi yalikuwa ya Mwanasheria Mkuu hivyo Rais alijibu maombi ya AG ila sio kwamba Rais ndio alianzisha hiyo madaKama ilikuwa ni hivyo ni kwa nini basi Rais Samia Suluhu alisema "kuanzia SASA...mikaba yote ni lazima ipitie kwa Mwanasheria Mkuu" ina maana Rais hana taarifa sahihi kuliko wewe!!??
Ungeyaweka hayo mambo aliyoyafanya Mpina ili wote tuelewe tusiojuaHuyo Mpina akiwa wizara ya Mifugo na uvuvi kaumiza sana wananchi kwa kuwaharibia Vifaa vyao kuwapora leseni kwa sababu ya maslahi yake na mabwana zake leo anakuja na porojo za kijinga,Mnatuona waTz Mafala sana