Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,871
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni haya:
1. Virutubisho hivyo ni dawa za aina gani?
2. Je, imethibitishwa vipi kwamba hizo ni dawa sahihi?
3. Je utendaji kazi wa hizo dawa katika miili yetu umefanyiwa utafiti gani na wapi??
4. Baada ya miaka kadhaa ya matumizi ya dawa hizo kupitia unga wa sembe nk, je afya za Watz zimeimarika kiasi gani na kwa ushahidi gani?
5. Ni kwa namna gani usimamizi hufanyika kwa wasagaji kuhakikisha dawa hizo zinawekwa katika vipimo sahihi?
Kuuliza sio ujinga bali kutokuuliza usichojua ndio ujinga.
Kwa sasa maswali ni hayo tu na yatakuja mengine kulingana na majibu hususan kutoka kwa wahusika TFDA.
Imekuwa ikisemwa kwamba kuna mpango mkakati wa kuwafuta watu weusi na Waasia kutoka katika uso wa dunia na inasemwa kuna njia kadhaa zimekuwa zikitumika kinyemela kufanikisha jambo hilo, isiwe hizo dawa/virutubisho ikawa ni moja ya njia hizo.
"What goes around is what comes around".
Karibuni wadau.