Maswali kwa TMDA kuhusu virutubisho katika unga wa sembe

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
14,375
14,870
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni haya:

1. Virutubisho hivyo ni dawa za aina gani?

2. Je, imethibitishwa vipi kwamba hizo ni dawa sahihi?

3. Je utendaji kazi wa hizo dawa katika miili yetu umefanyiwa utafiti gani na wapi??

4. Baada ya miaka kadhaa ya matumizi ya dawa hizo kupitia unga wa sembe nk, je afya za Watz zimeimarika kiasi gani na kwa ushahidi gani?

5. Ni kwa namna gani usimamizi hufanyika kwa wasagaji kuhakikisha dawa hizo zinawekwa katika vipimo sahihi?

Kuuliza sio ujinga bali kutokuuliza usichojua ndio ujinga.

Kwa sasa maswali ni hayo tu na yatakuja mengine kulingana na majibu hususan kutoka kwa wahusika TFDA.

Imekuwa ikisemwa kwamba kuna mpango mkakati wa kuwafuta watu weusi na Waasia kutoka katika uso wa dunia na inasemwa kuna njia kadhaa zimekuwa zikitumika kinyemela kufanikisha jambo hilo, isiwe hizo dawa/virutubisho ikawa ni moja ya njia hizo.

"What goes around is what comes around".

Karibuni wadau.
 
TFDA haipo tena duniani mkuu,kwa sasa ni mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) na taasisi ya chakula na lishe Tanzania(TFNC).
 
Kwanza elewa mfanyabiashara anajali pesa YAKO na sio afya yako.
Unga salama ni ule uliotengeneza mwenyewe. Mahindi, maharage KWA sumu Ili yasiharibike, ni mfanyabiashara gani anao huo upendo wa YESU asafishe mahindi au maharage kuondoa sumu Ili uwe salama?
 
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni haya:

1. Virutubisho hivyo ni dawa za aina gani?

2. Je, imethibitishwa vipi kwamba hizo ni dawa sahihi?

3. Je utendaji kazi wa hizo dawa katika miili yetu umefanyiwa utafiti gani na wapi??

4. Baada ya miaka kadhaa ya matumizi ya dawa hizo kupitia unga wa sembe nk, je afya za Watz zimeimarika kiasi gani na kwa ushahidi gani?

5. Ni kwa namna gani usimamizi hufanyika kwa wasagaji kuhakikisha dawa hizo zinawekwa katika vipimo sahihi?

Kuuliza sio ujinga bali kutokuuliza usichojua ndio ujinga.

Kwa sasa maswali ni hayo tu na yatakuja mengine kulingana na majibu hususan kutoka kwa wahusika TFDA.

Imekuwa ikisemwa kwamba kuna mpango mkakati wa kuwafuta watu weusi na Waasia kutoka katika uso wa dunia na inasemwa kuna njia kadhaa zimekuwa zikitumika kinyemela kufanikisha jambo hilo, isiwe hizo dawa/virutubisho ikawa ni moja ya njia hizo.

"What goes around is what comes around".

Karibuni wadau.
Ishu hizo wapelekee TBS kwa sasa.
Inashangaza! Umekuwa na tashwishi ya mda mrefu lakini katika huo muda mrefu umeshindwa kujuwa kuwa TFDA ilishakufa kitambo na majukumu yanayohusu chakula kuhamishiwa TBS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo na mabadiliko ni mengi mkuu, kila siku watu tunajifunza na tutaendelea kujifunza hadi tutakapoingia kaburini.
 
Kwanza elewa mfanyabiashara anajali pesa YAKO na sio afya yako.
Unga salama ni ule uliotengeneza mwenyewe. Mahindi, maharage KWA sumu Ili yasiharibike, ni mfanyabiashara gani anao huo upendo wa YESU asafishe mahindi au maharage kuondoa sumu Ili uwe salama?
Umesema ukweli mkuu, ukienda Mashineni ndiyo utaamua ufanye hivyo ulivyoshauri hasa kwa unga wa ugali, yale mahindi yanayosagwa kwanza yanatolewa kwenye gunia yanamwagwa sakafuni hayaoshwi hivyo kama yalihifadhiwa na dawa hivyohivyo yanasagwa huyo mbebaji yupo peku mixer anatumia mguu kuyavuta mahindi kuyaweka kwenye ndoa
Mimi nilivyoona hayo ndiyo ikawa mwisho kununua unga wa kwenye viroba nanunua mahindi na vinginevyo naviandaa ndiyo naenda kusaga
 
Mimi huwa sinunui unga wa dukani,huwa nanunua mahindi,ngano,na mahindi lishe yanaoshwa kwanza yanaanikwa ndipo usagwa.Hata hotelini siagizi ugali sijui dona japo sumu kwa maisha yetu hazikwepeki
 
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni haya:

1. Virutubisho hivyo ni dawa za aina gani?

2. Je, imethibitishwa vipi kwamba hizo ni dawa sahihi?

3. Je utendaji kazi wa hizo dawa katika miili yetu umefanyiwa utafiti gani na wapi??

4. Baada ya miaka kadhaa ya matumizi ya dawa hizo kupitia unga wa sembe nk, je afya za Watz zimeimarika kiasi gani na kwa ushahidi gani?

5. Ni kwa namna gani usimamizi hufanyika kwa wasagaji kuhakikisha dawa hizo zinawekwa katika vipimo sahihi?

Kuuliza sio ujinga bali kutokuuliza usichojua ndio ujinga.

Kwa sasa maswali ni hayo tu na yatakuja mengine kulingana na majibu hususan kutoka kwa wahusika TFDA.

Imekuwa ikisemwa kwamba kuna mpango mkakati wa kuwafuta watu weusi na Waasia kutoka katika uso wa dunia na inasemwa kuna njia kadhaa zimekuwa zikitumika kinyemela kufanikisha jambo hilo, isiwe hizo dawa/virutubisho ikawa ni moja ya njia hizo.

"What goes around is what comes around".

Karibuni wadau.
Mkuu mimi sio TMDA ila nimewahi kufanya kazi na SANKU Fortification kwa muda kiasi fulani. Hii ni International NGO chini ya WFP inayodeal na mambo ya lishe Afrika na Asia.
According na utafiti wao waligundua Afrika nchi zilizo chini ya jangwa la sahara watu wengi wanatumia sembe. Na sembe hii inakuwa imekobolewa au hata kama haijakobolewa inakosa lishe muhimu hivyo watu wanajaza matumbo lakini wanakula makapi.
Mfano Tanzania kuna millers wachache ambao wana uwezo wa kuagiza virutubishi vya kuchanganya kwenye sembe, lakini millers wengi hawana uwezo. Labda tuseme Azam na Mo ndiyo wanaweza kufanya hivyo. Na virutubishi vinatengenezwa Germany.
So, wakaja na model ya kwanza ya kudeal na hawa millers wadogo kwa kuwauzia virutubishi lakini haikuwork.
Ndipo wakaja na model nyingine ambapo, kama wewe ni miller mdogo, unaenda unajisajili nao unawaambia unazalisha sembe kiasi gani kwa mwezi. So unaingia nao contract ambayo inakulazimu wewe kununua mifuko kadhaa ya sembe kila mwezi inagotosha kupack kiasi cha sembe ulichosema kuzalisha.
Hiyo mifuko inakuwa na logo yako na logo yao na watakuuzia wao. In return watakupa virutubishi bure sawa na kiasi cha mifuko ulichonunua na wanaku0aachine inaitwa dossiefire ambayo kazi yake ni kuweka kiasi kinacho faa cha virutubishi kwenye kila mfuko wa sembe kulingana na kilo.
Sijui kama bado ndiyo model yao maana siko nao muda mrefu.
Ila hilo ndilo lengo lao kufanya sembe iwe na virutubishi. Kwa sasa hata ukiangalia mafuta ya kupikia ya Mo yana logo ya fortification.
Miaka hiyo nilisikia kuwa itakuwa ni lazima kila mzalishaji kuweka fortification
 
Nashukuru sana kwa taarifa hiyo mkuu, japo bado haijajibu maswali yangu; hivyo ni virutubisho gani (kemikali gani)??, zimefanyiwa utafiti na watu au organ ipi hapa nchini kuthibitisha kwamba ndio zenyewe na zinayo matokea kusudiwa ndani ya MIILI YETU!!, na je feed back au utafiti gani umefanyika ili kujua mafanikio mazima ya mpango huo ie (Afya za watu zimeimarika kwa kiasi gani)??,Hisia zangu ni kama virutubisho hivyo vinayo manufaa ni kwanini magonjwa ya kisukari, Figo, Bp, kujifungua kwa operation kwa kina mama, wakina mama na dada wengi siku hizi wanaota ndevu, wanaume wengi nguvu zinapungua na kuota matiti nk, hayo ni baadhi ya magonjwa yanayo ongezeka kwa kasi kubwa sana nchini, je wadau kulikoni??

Kuna dada mmoja nilimuona mwaka jana mwanzoni kidevu chake kikiwa safi juzi nimemuona na kushangaa kidevu chake kina ndevu kama zangu!!😏😏
 
Mkuu siwezi kujibu maswali mengo kwa sababu ni ya kitaalamu zaidi na nje ya field yangu.
Ila virutubishi ndivyo ninaongezwa mle kwenye sembe ukitazama package ya kitu chochote chenye logo ya fortification utaona ni kiasi gani cha kila virutubishi kimeongezwa. Mainly huwa ni aina fulani ya vitamin na madini ya chuma. Na kwa mfano Sanku huwa kiasi kinabadilika kila mara kutokana na maagizo ya vyombo husika nadhan TMDA (sina hakika) maana wakati niko nao walikuwa wanabadili viwango vya virutubishi na tunabadili pia kwenye table zinazokuwa printed kwente packages kwa madai kuwa na maagizo toka vyombo vya serikali. So hiyo inaonyesha kuna chombo ndicho kinasimamia no virutubishi gani viwekwe.
Kuhusu vinatengenezwaje mimi sijui. Lakini si mkuu tunamezaga vidonge vya vitamin, watoto tunawapa maziwa ya formula. Basi navyo vitakuwa vinatengenezwa kwa njia hiyo hiyo.
Kuhusu huyo dada kuwa na ndevu itakuwa ni hormone imbalance kutokana na vyakula tunavyokula. Haya mambo lazima ya backfire. Lazima yabadili vitu vingi mwilini na miili ya wanawake iko sensitive sana na mambo ya hormone imbalance
 
Shukrani mkuu kwa maelezo ya ziada. Lakini bado nawasubiri hao wataalamu wajibu hayo maswali yangu, kamwe katika hali ya kawaida mimi sitanunua fortified sembe.

Kuhusu huyo dada kuota ndevu wapo wengi tu na yupo mwingine naye kama miaka miwili hivi alikuwa yupo fresh kidevuni lakini naye tayari kaota ndevu, jambo hili miaka ya akina mama zetu au miaka 15 hivi nyuma lilikuwepo kidogo sana au halikuwepo kabisa lakini leo limekuwa ni fashion mwanamke kuota ndevu, ni kweli hiyo inatokana na hormonal imbalance, swali; ni kitu gani kimepelekea miaka hii ya karibuni wanawake wengi wawe na hilo tatizo la hormonal imbalance??.
 
Back
Top Bottom