Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

Magufuli alifariki akiwa peke yake bila hata mke wake kuitwa ili kuja kushuhudia saa za mwisho za mumewe!
Walikuwa wakiitana kina Mabeyo na kamati yao tu!
Khe!
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Madaktari wake walikuwepo, including daktari wake binafsi Prof Mchembe. Lakini huyu Prof Mchembe ni surgeon, wakati tatizo kubwa lilikuwa la moyo kwahiyo akaomba consultation kwa bingwa wa moyo Prof Janabi. Matibabu ni teamwork, ndiyo maana madaktari huitana mambo yanapokuwa tete, au wanaandika rufaa mgonjwa aende penye madaktari waliobobea zaidi.
 
Sababu ya mke wa JPM kushindwa kumuuguza mumewe imeandikwa hapa: Mke wa Rais Magufuli naye mgonjwa? Azuiwa kumwona mumewe hospitalini - Sauti Kubwa
Kweli watu wanaodhani wana shida sana.
Kumbe Mke wake alikuwa naye anaumwa kiasi cha kushindwa kumuona mpenzi wake dakika za mwisho za uhai wake!
Sauti kubwa inasema hadi watoto wake walinyang'anywa simu.
Nadhani watoto pengine waliruhusiwa kumuona baba yao kwa sababu korona haikuzuia wapendwa kumuona mpendwa wao.
Sidhani kama JPM alikufa katika severe psychological torture ya kushindwa kuwaaga hata wanawe.
 
Inawezekana huyo Dr wa Magufuli alikuwa na dharura, lakini pia inawezekana kuna mchezo ulichezwa kama ambavyo wewe na wengine mnafikiri, hapa wa kuja kutoa uthibitisho ni Dr. Mchembe peke yake.
Kwenye tsnia ya udaktari siyo Kama kubeba zege kule Kuna ubobezi inawezekana daktari wa Magufuli ni physician tu ilahana ubobevu na ugonjwa unaohusika muda huo ....

So no lazima wamuite mtaalam zaidi
 
Katika maelezo yake hakuna sehem ambapo ametaja ushiriki wa Ndugu na familia ya JPM.
Pia inashangaza kwanini CDF alipinga amri ya amirijeshi mkuu bila kuwa na sababu za msingi.
Dhahiri inanyesha kuwa kunakikundi ambao wanajiita wakuu wa vyombo ambao waliamua mustakabali wa uhai wa JPM
 
Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.

- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.

- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.

- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.

- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.

Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.

Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Further,Nyerere alipelekwa nje ya nchi,Mwinyi nje,kwa nini JPM hakupelekwa nje,badala yake akafichwa Mzena.Yes,eventually watasemana tu,naona wameshaanza kuweweseka.Labda watakosa aibu na ubinadamu kabisa baadaye mpaka hatimaye watasema bila aibu alikuwa "an enemy of the state so he deserved to die." Tusubiri.
 
Una maana adui zake wamemuua?
Mi naongezea kuhusu nchi ilikua chini ya nani wakati anaumwa.

Mtoa mada amesahau kua JPM kwenye wakati wake alikua hafuati sheria za nchi na pia aliowaamini walikua ni wale waliokua kwenye cycle yake na ndo walikua na nguvu kuliko hata makamu wa Rais. Ndo maana mara kadhaa wale wapendwa wake waliwavimbia baadhi ya watu ambao wapo juu yao vyeo vyao.

Mtu kama Bashiru yeye alikua na power kubwa kumuwajibisha yeyote nchi hii ukitoa magufuli na kwa hisia zilizokuwepo alikua akiandaliwa kuja kuwa mkuu wa nchi baadae ndo maana alimoa nafasi zile nyeti.

Kuhusu kua wakuu wa vyombo vya ulinzi muda wote kua mbele ya mstari ni kwasababu marehemu yeye alikua na maadui wengi na mara kadha alinukuliwa akisema ametoa uhai wake,pengine jukumu la kumsimamia kuwapa wao aliamini ni watu waaminifu si rahisi kumsaliti.

Kwanini alipodai kurudoshwa nyumbani Mabeyo alimwambia jambo la afya si la CDF, mkuu wa majeshi sio daktari ingekuaje aamuru mgonjwa arudi home na akafia huko si ingeonekana amemuua kwa kukosa matibabu stahiki. Mara kadhaa sisi tumeuguza mgonjwa anadai kurudi nyumbani ila tunamkatilia kwasababu nyumbani sio sehemu salama kwa matibabu hilo liko wazi. Mtoa mada alisema kwanini hawajampeleka Hospital ya maana ,mimi nimesikia CDF alisema walianzia Muhimbili(hiyo national hospital imejengwa na serikali kwa watu wote) ila walipoona hakuna utulivu ndo wakahamia Nzena akiwa na madaktari wake na alimtaja jina na prof janab akiwepo.

NB:kama hayati angekua anafuata sheria walau nusu basi mambo mengi yasingekua hivi, pengine angekua hai.
 
Maswali yako naona yanajibika, naona umeacha hisia zikutawale kwa kiasi kikubwa ndio tatizo lako.

-Hii tabia ya kuficha ugonjwa wa viongozi wetu niseme ndio tabia ya serikali yetu, walianzia kwa Hayati Magufuli wakaja nayo mpaka kwa VP wa sasa.

- Uwepo wa Dr. Janabi eneo la tukio kwangu nachukulia tofauti, inawezekana aliitwa pale akatoe ushauri wake wa kitabibu juu ya mgonjwa, hili hutokea kwa madaktari wengi, sioni sababu ya kuwa na hofu.

- Kuhusu Hayati JPM kupelekwa Mzena, najua hiyo ndio hospitali yao wazito wa hii nchi, hata Mzee Hayati Mwinyi nae alienda kutibiwa pale last month tukaambiwa mauti yalimkuta pale.

- Hayati JPM kwa ile tabia yake ya kutopenda mambo ya wazungu, sishangai kuona kwanini hakupelekwa huko Ulaya unapopataka ili akatibiwe.

- Unaposema Hayati Magufuli aliachwa akipigania uhai wake kama mateka napo unapokosea, mgonjwa akiwa amelazwa hospitali akiendelea na matibabu hutembelewa na ndugu au jamaa zake, wakati ule hauwezi kusema aliachwa akipigania uhai wake kama mateka, wakina Mabeyo na wengine ndio walikuwa jamaa zake wakati ule, Hayati JPM akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mabeyo akiwa kama CDF.

Hili suala la kushirikishwa kwa wengine, mbona inawezekana kabisa ikawa walishirikishwa kwa njia nyingine za kimawasiliano, mimi nijuavyo, hakuna hospitali inayoeleweka itaruhusu lundo la watu bila kujali vyeo vyao wakajazane wodini kwa mgonjwa, huo utakuwa ni usumbufu kwa mgonjwa usiotakiwa.

Kwangu, kama wakati wa kifo cha Hayati JPM pasingekuwepo na ugonjwa wa Corona, hapo ningeweza kuamini hizi rumours za mwendazake kuondolewa na wajanja, lakini kama Corona ilikuwepo, na ikaondoka na baadhi ya wasaidizi wa Hayati JPM, sioni kwanini isingemuondoa na JPM ikiwa yeye hakuwahi kuchukua tahadhari zozote za kisayansi kujikinga dhidi ya ule ugonjwa.
Na baada ya yeye kufa CORONA iliondoka yenyewe?
 
Umejibu kitaalamu sana, hujaacha hata chembe ya mashaka. Kongole denoo JG

Niongeze tu kusema JPM alikuwa na underlying conditions kama HIV, alifungwa defibrillator ambayo ilikuwa tayari chakavu na vilevile alikuwa na ka mental fulani. Hamna namna angeweza kukatiza mbele ya COVID-19 hasa hasa kwa namna alivyokuwa anapuuza kinga za kitaalamu kama social distancing na kuvaa barakoa.

Tusianze kutafuta mchawi, jamaa alikuwa chuma chakavu tu
Ndugu huu ukioandika ni uongo mtupu
,JPM alikuwa na HIV?????!!!!!Sijawahi kusikia upuuzi huu hata siku moja.Mtamzushia mengi Hayati Magufuli,ila Mungu ndiye muamuzi wa wote.Siku moja itabidi msimame mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu,kwa ajili ya kutoa hesabu ya yote mliyosema na kutenda,ndipo itakapokuwa kilio na kusaga meno.
 
Ninaweza kuwa na maswali kama wewe,

Ila nimeamua kutouliza, maana sitojibiwa.

Tumwachie Mungu ahukumuye Kwa HAKI.

RIP Magu!!
 
Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!

Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Sasa nimeelewa maana ya "karma". Muda mfupi baadae mtoto wa kiume wa Mabeyo aliekuwa Pilot pale Coastal Aviation alianguka na ndege uwanja wa Seronera akiwa yeye na rubani mwanafunzi wa vitendo (trainee) na wote walifariki Dunia.

Hili kwa sasa sintaliongelea sana ila nimeliweka hapa ili kuonyesha ukuu wa Mungu na Malipo yake kwa wale anaotaka kuwapa majibu ya matendo yao wakiwa bado hai.

Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?

Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?

Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?

Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.

Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.

Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.

Tutashuhudia taraatiiibu!

R.I.P Jemedari JPM!

Wameanza kuropoka huku!
Pumbavu sana , msimtwishe zigo mzee wa watu , alitimiza kile aliweza , mwafikiri Mabeyo anaweza ongea yote nini alipitia katika kipindi kile ? Mnapewa robo ya robo story , alafu povu kama lote, pumbavu sana mwacheni mzee wa watu ,pumbavu tena
 
Ndugu huu ukioandika ni uongo mtupu
,JPM alikuwa na HIV?????!!!!!Sijawahi kusikia upuuzi huu hata siku moja.Mtamzushia mengi Hayati Magufuli,ila Mungu ndiye muamuzi wa wote.Siku moja itabidi msimame mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu,kwa ajili ya kutia hesabu ya yote mliyosema na kutenda,ndipo itakapokuwa kilio na kusaga meno.
The fact kama hujasikia wewe haijalishi kama siyo kweli. Kwani wewe ni nani ujue taarifa za afya za watu wote. Chukua kama ilivyo
 
Kama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?
Hizi zinabaki ni imagination ambazo hazina nguvu kwasababu kifo cha mtu hakuna anaekijua au kupanga kwa kuwa kila mtu anaondoka kwa muda wake. haiwezi kuwa logic question kuuliza mbona jirani yangu kafa na ndugu yangu hajafa na ajali ni moja na walikaa seat zinafuatana
 
Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake na hatimae kuondoka Duniani!

Lakini maelezo yake yameongeza sintofahamu zaidi kuliko alivyotarajia. Na kwa wengine hasa mimi binafsi,
Na wakati mjadala ukiendelea kuhusu mambo kadhaa ya kisiasa kutoka na hotuba ya Mstaafu Mabeyo!
Sisi wengine tunajiuliza wwali muhimu: Ni kwa nini walituficha ugonjwa wa mpendwa Rais wetu JPM?
Tunajiuliza: Dk Janabi alikuwa pale muda wote akifanya nini ilhali yeye hakuwahi kuwa Daktari wa JPM, bali alikuwa ni Daktari wa familia ya Kikwete na pia swahiba ya JK?

Tunajiuliza ...ni kwa nini walikwenda kumficha pale Mzena badala ya kumpeleka kwenye hospitali nyingine yenye hadhi ikiwezekana hata nje ya nchi? Tunajiuliza. Kama waziri mkuu alituficha. Makamu wa Rais alituficha!
Ni nani au kikundi gani kilikuwa kinaratibu haya mambo?

Tunajiuliza: Kama Mkuu wa majeshi aliambiwa na JPM awali kwamba wamrudishe nyumbani akafie huko.Ni kwa nini aligoma kutimiza takwa la Marehemu? Na kwa nini hakuwashirikisha wengine ili wachukuwe maamuzi sahihi?

Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? Anasema alipofariki wao wakuu wa vyombo ndio waliwajulisha viongozi kama PM, CS na baadae makamu wa rais, ena wote hawakuwepo eneo la tukio.

Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi. Huyu Mabeyo ameongea, iko siku na wengine wataanza kuongea. Damu ya mtu huwa haipotei bure.

Kama kuna jambo lilipangwa na kufanywa na kikundi fulani,kinyume na tulivyoamishwa sisi wananchi. Na kwa jinsi siku ya Jana ilivyopita bila hata serikali ya Saa100 kujishughulisha na lolote kuhusu kumbukumbu hii muhimu nchini.

Tutashuhudia taraatiiibu!

R.I.P Jemedari JPM!

Wameanza kuropoka huku!

Hivi daktari wa JPM alikuwaga nani? maana natamani kumpa za uso kama yule dakatri wa rais wa Malawi aliyeitwa kwenye emengency akaenda mikono mitupu
 
JPM last dance alisalitiwa na kila aliyemuamini,napata picha akiwa katika hali ya kukata tamaa na kupuuzwa na watu aliowaamini akiwa katika hali ambayo hajiwezi.
Huyu mtu walimuua.
Inaonyesha hakuwa na maamuzi yoyote kwa kipindi alichokuwa anaumwa.

Hakuna aliyeruhusiwa kumuona zaidi ya Padri wake pamoja na Kardinali Pengo kuja kumuombea kabla hajafa.

Ombi lake lilikubaliwa ni hilo la sala ya toba peke yake. Tofauti na hapo, inaonyesha walikuwa wanasubiri tu afe.
 
Back
Top Bottom