Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

Je, Magufuli aliugua ugonjwa gani huo ambao madaktari walikaa pembeni wakimshuhudia akipigania uhai wake akiwa kama mateka? .
Moyo ulizima; kwani wewe umezaliwa baada ya Machi 17, 2021 au?
Hatuoni mahala makamo wa Rais, mwanasheria mkuu, Wala jaji mkuu au spika wakiwa na maamuzi yeyote. Kila kitu kilipangwa na jeshi.
Hii ni kwa sababu ya kiburi cha marehemu mwenyewe, alijikuta Mwanajeshi wa Kihutu na nchi alijifanya anaiendesha Kihutu, kwa hiyo msitupigie kelele
 
Katika maelezo yake hakuna sehem ambapo ametaja ushiriki wa Ndugu na familia ya JPM.
Pia inashangaza kwanini CDF alipinga amri ya amirijeshi mkuu bila kuwa na sababu za msingi.
Dhahiri inanyesha kuwa kunakikundi ambao wanajiita wakuu wa vyombo ambao waliamua mustakabali wa uhai wa JPM
Kongole kwao kwa kusimamia vizuri usalama wa Tanzania na Watanzania.
 
JPM last dance alisalitiwa na kila aliyemuamini,napata picha akiwa katika hali ya kukata tamaa na kupuuzwa na watu aliowaamini akiwa katika hali ambayo hajiwezi.
Huyu mtu walimuua.
Ukiua kwa upanga na wewe utauawa hivo hivo. Ukiua na wewe utauawa. Zama zake watu walikuwa wanapota hovyo kwa kutekwa na kukukwa mto wani na Ruvu.
 
Dawa ya moto ni moto na anayeuwa kwa upanga naye atafia kwa upanga na ukichimba shimo refu utatumbukia mwenyewe hayo ndiyo yaliyomkuta Magufuri.
Je na wanaoiba pesa na kijenga ughaibuni, sawa yao ni nini?

Wananchi wanaangalia nini alilitendea taifa.

Mambo aliyofanya mazuri yanawagisa wananchi Moja Kwa Moja. Mambo aliyofanya kikwete na mambo anayofanya mama yanawagusa wachache wenye nafasi za kipesa au madaraka.

Kipesa ni kwamba wanaweza mhonga waziri au mtu yeyote yule Kwa mahitaji yao.

Kipindi Cha Magufuri haikua hivyo. Hata kama ilikuwepo ni Kwa kiasi kidogo na Kwa kujificha sio public kama ilivyo saiz.

Maisha Kwa wananchi wa kawaida yalikua mazuri Kwa maana ya upatikanaji wa mahitaji.

Saiz Kwa mama mahitaji ya msingi imekua shida kuyapata. Uzembe na uwajibikaji umerudi kama enzi za JK.

Tuache ushabiki kama ushabiki, tuzungumze ukweli na uhalisia bila kumumunya maneno.
 
Kikwete amefanya mambo mengi mazuri kuanzia elimu,uchumi,jamii,miundombinu na diplomasia.
 
JPM last dance alisalitiwa na kila aliyemuamini,napata picha akiwa katika hali ya kukata tamaa na kupuuzwa na watu aliowaamini akiwa katika hali ambayo hajiwezi.
Huyu mtu walimuua.
Magufuli alikuwa walking carcass tu. Angeweza kufa anytime. Alikuwa na maradhi mtambuka; VVU + Herpes Zoster+ Diabetes+ Kibetri Kifuani+ Kichaa. Ndipo na COVID-19 haikumkopesha. Yale majigambo ya pushup alikuwa anadanganya wajinga
 
Magufuli alikuwa walking carcass tu. Angeweza kufa anytime. Alikuwa na maradhi mtambuka; VVU + Heroes Zoster+ Diabetes+ Kibetri Kifuani+ Kichaa. Ndipo na COVID-19 haikumkopesha. Yale majigambo ya pushup alikuwa anadanganya wajinga
Na akafa kabla ya Lowasa.
 
Back
Top Bottom