bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,321
Uchawi Sio uafrika uchawi ni Dunia nzimaNa wewe ni MWAFRIKA TUJITAMBUE? Napenda sana Fazageti akiwa anafundisha uchawi, niko njiani naelekea kwenye darasa lake Salasala

Ngoja tumalizane na wanautupiga mnada na kugawa urithi wetu kabla hatujafa[emoji3583]PAPA/POPE NI NANI KWANI
JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU[emoji116]
[emoji1607]je PAPA/POPE ni nani????
[emoji1607]je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???
[emoji1607]je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??
[emoji1607]je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???
[emoji1607]je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??
[emoji1607]je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)
[emoji1607]je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??
[emoji1607]je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100[emoji16]????
[emoji1607]je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???
[emoji1607]je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???
[emoji1607]je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)
[emoji1607]je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )
[emoji1607]je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?
[emoji1607]Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
1.Kwanini wewe unaitwa Bujibuji?,nini maana yake?.[emoji3583]PAPA/POPE NI NANI KWANI

Kweli Kabisa.Wachungaji na Viongozi Wengine wa Makanisa ya Kiprotestanti wanaujua Ukweli huu,lkn wanajizima data.Papa ipo kibiblia,papa wa kwanza alikua Petro,
Ukatoliki ndio umeitunza umebeba historia ya Ukristo makanisa yote ya Kikristo ni tawi la ukatoliki
Embu fikiri Padre Slaa aje kuwa papa siku Moja!!!Haotakaa atokee papa mweusi maana weusi hawana siri akiona jambo ambalo haliafiki siku ukimzingua analiweka hadharani.
MaslaiKweli Kabisa.Wachungaji na Viongozi Wengine wa Makanisa ya Kiprotestanti wanaujua Ukweli huu,lkn wanajizima data.
Kila sehemu na uchawi waoUchawi Sio uafrika uchawi ni Dunia nzima
Where is the video,so far?You are stuck to the hear says!
Shetani sio mweusi shetani ni mweupe pia1.MAPAPA wote ni weupe a.ka.Wazungu
2.Yesu nae alikuwa white
3.Mohammd nae Mwarabu mweupe
Jamani Waafrika MNA nini,nasikia shetani tu ndio mnafanana naye naye mweusi.
Hapa ndipo naonaga hawa jamaa ni wasanii flani hivi, yani hicho cheo cha papa ni cheo cha kibinadamu alafu wamekipa utakatifu
Ukiandika skotch whiskey is the real Holly water Watakuletea na Muhusika akifanya smoking za waaazi kabisa.Where is the video,so far?You are stuck to the hear says!
Je, hili ni kweli?!!!✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )
Subili matusi[emoji3583]PAPA/POPE NI NANI KWANI