AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Vatican aka catholic ndio walioanzisha UISLAM. Nadhani hili litajibu maswali zaidi ya MA 3. Kingine Roma haikuanguka Bali ilijitawanya.... If you know.. You know.PAPA/POPE NI NANI KWANI
JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU
je PAPA/POPE ni nani????
je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???
je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??
je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???
je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??
je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)
je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??
je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100
????
je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???
je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???
je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)
je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )
je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?
Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
.. Get this catholic ni dini DOLA as Islam ilivyo.... Go back to history!!
... He will be the one to unite all the religions to that ONE FAMOUS RELIGION (COEXIST).... And the leader will be... You know
PAPA/POPE NI NANI KWANI
je PAPA/POPE ni nani????
????