Maswali kumhusu Papa Mtakatifu

Maswali kumhusu Papa Mtakatifu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,079
✝️PAPA/POPE NI NANI KWANI

JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU👇

✍🏽 Je, PAPA/POPE ni nani?

✍🏽 Je, BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE? Mimi mbona nimetafuta sijaona.

✍🏽 Je, kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI)?

✍🏽je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???

✍🏽je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??

✍🏽je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican? ndani ya nchi ya Italy (kwanini ni city state?)

✍🏽 Je, kwanini mapapa wote ni WAZUNGU?

✍🏽 Je, wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100😁?

✍🏽 Je, ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani?

✍🏽 Je, kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza?

✍🏽 Je, ni kweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi? (doctrine of indulgence)

✍🏽Je, ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti (Kama hujui usibishe fuatilia)

✍🏽 Je, kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?

✍🏽 Je, mnajua lolote kuhusu Chrislam (kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
 
✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )

✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?

✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?

Kutachafuka hapa muda si mrefu...

Shusha nondo za maswali haya muhimu kama unazo. Au lazima uende kwanza kwenye group la Kisendi Nyanda Ntalima Mpandagoya ukatafute majibu? 😁😁😁
 
✝️PAPA/POPE NI NANI KWANI

JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU👇

✍🏽je PAPA/POPE ni nani????

✍🏽je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???

✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??

✍🏽je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???

✍🏽je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??

✍🏽je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)

✍🏽je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??

✍🏽je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100😁????

✍🏽je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???

✍🏽je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???

✍🏽je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)

✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )

✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?

✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
Tafuta kitabu chenye jina la "papa ni nani" kinajibu 90% ya maswali yako hapo.
 
✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??
Hapa ni sawa nakuuliza Tanzania yenye makabila 120 kwanini haijawahi kupata rais Mtaturu(hili ni kabila huko tabora na maeneo ya shinyanga)

Najibu swali kwa kusema hivi "Kwa kuwa uchaguzi hufanyika basi kura za mtu mweusi hazijawahi kutosha"
 
Na wewe ni MWAFRIKA TUJITAMBUE? Napenda sana Fazageti akiwa anafundisha uchawi, niko njiani naelekea kwenye darasa lake Salasala
Kutachafuka hapa muda si mrefu...

Shusha nondo za maswali haya muhimu kama unazo. Au lazima uende kwanza kwenye group la Kisendi Nyanda Ntalima Mpandagoya ukatafute majibu? 😁😁😁
 
Back
Top Bottom