Maswali kumhusu Papa Mtakatifu

Maswali kumhusu Papa Mtakatifu

1.MAPAPA wote ni weupe a.ka.Wazungu
2.Yesu nae alikuwa white
3.Mohammd nae Mwarabu mweupe

Jamani Waafrika MNA nini,nasikia shetani tu ndio mnafanana naye naye mweusi.
Yesu hakuwa mweupe. Tulipigwa!

Kulingana na Wanaanthropolojia walioangalia mafuvu na DNA ya watu Mashariki ya Kati wakati wa Yesu kuna uwezekano mkubwa kuwa alikuwa hivi:

Screenshot_20230610_110048_Chrome.jpg
 
✝️PAPA/POPE NI NANI KWANI
💒 Baba Mtakatifu ni Khalifa wa Mtume Petro, Wakili wa Yesu Kristu, Askofu wa Roma na Kiongozi wa Kanisa la ulimwengu.

✍🏽je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???

Mathayo 16:18

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni

✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??

Upotoshaji.

✍🏽je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???

Moshi mweusi unaashiria kura zilizopatikana aidha zimefungamana au hazijafikia kiasi kinachohitajika kuweza kumtangaza 'elected pope' hivyo kura hizo huchomwa kwa kuchanganywa na kemikali maalum ambayo hutoa moshi mweusi katika chimney ya sistine chapel kuashiria kwamba waumini waongeze maombi ili Mungu awaonyeshe mrithi halali wa kiti cha Petro.Hivyo baada ya moshi mweusi makardinali hujifungia tena kwa maombi kwa siku kadhaa (wakati mwingine huchukua hata miezi) mpaka atakapopatikana.Hapo kura zinachomwa na kemikali ya moshi mweupe kuashiria mrithi wa Petro amepatikana, na papo hapo huulizwa jina gani anapendelea kutumia, hupewa heshima na baraka kutoka kwa makardinali wenzake na huingizwa katika chumba maalum "tear room"

✍🏽je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??

Vazi jeupe ni vazi maalum la Baba Mtakatifu.Mara nyingi viongozi mashuhuri hupendelea kuvaa suti nyeusi (nadra kumuona Rais amevaa suti nyeupe) hivyo wanapokutana wanakuwa katika mavazi yao, Hivyo sidhani kama ni hoja ya maana.

✍🏽je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)
Tarehe 11 mwezi wa 2 mwaka 1929, Vatican na Italy walifikia makubaliano yanayojulikana kama Lateran Treaty yaliyoipa Vatican uhuru kamili kama nchi kutoka Italy.

✍🏽je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??

Si, kweli kwamba mapapa wote ni wazungu,
Pope Victor I (reigned c . 189 to 199), Pope Miltiades (reigned 311 to 314) and Pope Gelasius I (492 to 496) wote hao ji Waafrika.
Pia kutokana na idadi ya Wakatoliki ulimwenguni ambapo ncho nyingi ni wazungu(weupe) kwa hesabu za haraka ni rahisi kura kumfikia kardinali mweupe kuliko mweusi, Japo si kigezo kikubwa.

✍🏽je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100😁????

Vatican kuna Swiss guards.Jumuiya ya Yesu, inayojulikana sana kama Wajesuit, ni kundi la makasisi wa kawaida wenye haki ya kipapa kwa wanaume katika Kanisa Katoliki lenye makao yake makuu huko Roma. Ilianzishwa mwaka 1540 na Ignatius wa Loyola na wenzake sita, kwa idhini ya Papa Paulo III

✍🏽je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???
Haihusiani na Kanisa Katoliki.

✍🏽je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???
Lingekuwa na shape ya mstatili pia ungehoji?

✍🏽je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)
Martin Luther alivunja kanuni za kanisa na hakustahili kuendelea kuhudumu kama padre wa kanisa.

✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )

Si kweli

✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?
Kwa imani kwamba wote ni wana wa Ibrahim (Abrahamic religions)

✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
Si kweli
@Bujibuji ukuye mu fasi hii.
 
✝️PAPA/POPE NI NANI KWANI

JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU👇

✍🏽je PAPA/POPE ni nani????

✍🏽je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???

✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??

✍🏽je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???

✍🏽je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??

✍🏽je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)

✍🏽je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??

✍🏽je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100😁????

✍🏽je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???

✍🏽je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???

✍🏽je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)

✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )

✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?

✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
Anza na ww kujibu Elen G white, ni nani? Ana mamlaka gani kusema sabato ni jumamosi? Mungu yupi aliabidu sabato? Siku hiyo sabato alimuabudu nani?
 
Papa means baba.
Kwa maana ni kiongozi Mkuu wa Wakatoriki lakini hayupo juu ya ukatoliki.
Chrislam ni idea na mawazo ya wanadamu kuunganisha dini kuu hizi tatu ambapo in reality itakuwa ni vigumu Ukristo, Uislam na Uyahudi wote hawa Wana uadui wa asili.
Myahudi ni adui wa Mkristo na Muislamu pia hawachangamani kidini japo wanafanana kwa maana uyahudi ndio chimbuko la Ukristo na uislam.
Uislam ulianzishwa na Majesuit wa Kikatoriki ili kuwaweka waarabu chini ya control moja yaan uislam so Imamu wa saudia kumsujudia papa anamsujudia boss wake.
Jesuit ni jeshi maalumu la kuulinda ukatoliki dhidi ya Imani zingine pinzani rejea vita vya msalaba.
Blackwater ni kikosi maalumu Cha kumlinda papa.
Vatican si nchi Bali ni mji Mtakatifu Kama makao makuu ya Wakatoriki Duniani.
 
Back
Top Bottom