Sasa Mr. Dr. inakuwaje unashindwa kuandika vizuri? Utaunganishaje jina la mtu na neno lingine? nimeshindwa kusoma kwakweli.
Tume ya jaji warioba upande wa mfumo wa muungano wamekosea mh mbunge, alafu si wananchi wote walopropose serikali 3,
Hiyo kitu italigawa taifa in the longrun it is obvious.
Tume ya jaji warioba upande wa mfumo wa muungano wamekosea mh mbunge, alafu si wananchi wote walopropose serikali 3,
Hiyo kitu italigawa taifa in the longrun it is obvious.
Warioba ni kichwa muhimu baada ya baba wa Taifa kuondoka. Ataendelea kupuzwa na ccm mpaka atakapomfuata mjomba wake. Watakaosifiwa na ccm ni yale madodoki tu ambayo hayajui kuchuja, porojo zao ndo heshima yao lakini mafisadi waliokubuhu. Wanajua mkate wa wizi utadhurika endapo rasimu hii ya 2 itapita na kuwa katiba. Wanajua kwamba wananchi wanaogopa vichapo vya jeshi na kwa hiyo wanaitumia kama fimbo ya kupitishia uharamia wao. Bado nashangaa mpaka sasa, Mwamunyange na au msemaji wa Jeshi kwa nini wanaogopa kukanusha machafuzi ya bosi wao? Ni jeshi la wananchi na sio la JK wasiogope wataungwa mkono na wenye jeshi ambao ni wananchi wenyewe. Mkorofi na mhalifu ndiye anayeogopa jeshi siku zote, mtu safi na makini ni rafiki wa jeshi daima kwa sababu jeshi lipo kwa ajili ya kumhakikishia usalama.
Huwa najiuliza ulinzi anaoutegemea Warioba ni wa Mungu ama ni wa hao hao anao pambana nao???
Au kuna nini kinachoendelea??? Maana dunia ya sasa kuondoana maisha ni sekunde tu.
Mkimaliza huo u simba na yanga mtamkumbuka Warioba na tume yake. Swali? Umewahi kuiona serikali inayojipinga yenyewe? HII NI MARA YA KWANZA KWA BUNGE KUPINGA TUME YAKE TENA YA RAIS..AJABU! Kidogo nikubaliane na Mtikila kuwa hii ni laana ya Taifa kumkataa Mungu.Warioba amejidhalilisha
kweli. Ni bora akatafuta pa kujificha kuliko anavyoendelea kuongea
kwenye media. Vinginevyo watanzania wataamini kuwa serikali tatu ulikuwa
ni mpango wake na si mawazo ya wananchi
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameuliza maswali saba yamsingi kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaopinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa naTume yake akitaka wawajibu wananchi ili kutuliza kiu yao.
Jaji Wariobaa mbaye tangu awasilishe Rasimu ya Katiba Desemba 30, mwaka jana amegeuka kuwa adui kwa watu wanaotaka muundo wa serikali mbili, aliuliza maswali hayo jana katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti waTaasisi yaTwaweza kuhusu mchakato waKatiba.
Akizungumza kwaukali, Jaji Warioba alisema: Kwanza, jibuni kwanini mnapinga muundo wa Muungano wakati walioupendekeza ni wananchi?
Sheria inasema uwepo wa Muungano na mapendekezo katika rasimu hayasemi Muungano usiwepo. Kumbukeni kuwa wananchiwalitakiwakutoa mapendekezo ya namna yakuboresha Muungano.
Katika swalilake la pili,Wariobaalisema kwa niniTanganyika imevaakoti la Muungano? Kwakuwa katika ukusanyaji wamaoni wananchiwalielezakuwa Serikaliya Muungano yasasasiyoyaMuungano, ni ya Tanganyika.
Katika swalila tatu alisema wajumbe hao wanatakiwakujibu maelezo yawananchi ambao waliielezatume hiyo kuwa Katiba imevunjwa namadarakayarais yamechukuliwa nasasakuna maraiswawili katika nchi moja.
Tume inapewa lawamakubwa, wajibuni wananchihii tume ilitumwananani kukusanya maoni yawananchi?Waambieni ilikusanyamaoni hayo kwakutumia sheria ipi zaidiyaile yaMabadiliko yaKatiba? alisema JajiWariobakatika swalilake la nne.
Katika swalilake la tano, Wariobaaliwataka wajumbe hao kutoa sababuza kumtuhumu kuwa amependekeza muundo waserikalitatu kwasababuyeye pamoja na(Joseph Butiku) walikuwa wajumbe waTume yaJajiKisanga naJajiNyalaliambazo nazo zilipendekeza muundo waserikalitatu, kitu ambacho alisema si kwelinahawakuwahikuwa mjumbe watume hizo.
Pia, aliwatakawajumbe hao kujibu swalila sita, kwaninihawatakikuzungumzia yaliyomo katika Rasimu yaKatibanabadalayake wanageuzarasimu hiyo kuwa imeandikwana Tume yaMabadiliko yaKatiba.
Katika swalilake la saba, aliwatakawajumbe kujibu kwaniniwanaishutumu Tume ya Mabadiliko yaKatibakuwa imeingiza maoni yake, wakatiilikusanyamaoni hayo kwa mujibu waSheria yaMabadiliko yaKatiba?
Alisemabadalayakujadilihoja za msingi, wajumbe waBunge hilo wamekuwa wakitoa lugha za kejeli namatusi kwabaadhiyawatu (akiwamo nayeye), kitendo ambacho alisema si sahihinakinaweza kuligawa taifakwa sababuyaliyomokatika Rasimu yaKatiba yametokana namaoni yawananchi.
Katika uzinduzi huo walikuwepo baadhiya wajumbe waBunge hilo ambao ni Dk Hamisi KigwangallaaliyemwakilishaKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, JuliusMtatiro, MariaSarunginaaliyekuwamjumbe waTume yaMabadiliko yaKatiba, Humphrey Polepole.
Tume ya jaji warioba upande wa mfumo wa muungano wamekosea mh mbunge, alafu si wananchi wote walopropose serikali 3,
Hiyo kitu italigawa taifa in the longrun it is obvious.
Warioba kama binadamu ni halali kujibu au kuwauliza maswali wajumbe hawa, lakini nahisi tofauti yake na wajumbe hawa ni kubwa sana. Uchambuzi wote unaosikika bungeni ni wa kuelekezwa kabisa. Waliowengi hawana uwezo wa kusoma document kubwa kama hii ya katiba. Siamini kabisa kwamba watu kama Nchemba, Hawa Ghasia, Sendeka, Komba, n.k. wana uwezo wa kusoma kwa makini na kuweza kukumbuka yaliyoandikwa na baadaye eti wachambue.
Hawa ni watu ambao hawana hata ufahamu wa Dunia inavyokwenda. Pale Bungeni mtu kama Sendeka kapangwa kukaa na mtu anayemsaidia kupanga ya kuzungumza, msaidizi mwenyewe naye ni hoi! Kwa ujumla hatuna wabunge na bunge lilihalibiwa na uteuzi. Aina ya wajumbe na ubora wao uko chini sana.
unachoweza kuona ni kwamba baadhi ya watu walio na uwezo mkubwa wanashindwa kuzungumza. Wengine tuliotegemea waonyeshe ufahamu mkubwa wameamua kujikomba na kujidai eti ni wasomi wazoefu, wanajua kuchambua takwimu, n.k. Lakini wako hoi na hata ukiwatafuta google hawajawahi kuhangaika na takwimu wengine kwa miaka 10 iliyopita. Mtafute Tibaijuka, mtafute yule wa UD anaitwa Francis, mtafute yule wa SU anaitwa Asei, mtafute Magembe, mtafute Msola, wote hawana kabisa zile basics za takwimu. Ni aibu kwamba hata wanaofundisha vyuo vikuu wamaekuwa ni chini ya mwanafunzi wa sekondari anayejua haki yake ya kupikiwa chakula kiive.
Usiite watu mbumbumbu mkuu, si ustaarabu.
Sijawai fanya takwimu,
Sijafuata maelekezo ya yeyote yule, nimewaza mwenyewe nikachanganya na wanosema ukawa na walio against ukawa nimeconclude serikali 3 italeta matatizo, nitapigia kura mbili,
Ni maoni tu
Kwahiyo na mamayako ni miongoni? Manake naye ni mwanangu.We ni mama wa makahabah
" Katika kero ambazo wamekuwa wanatueleza wanajeshi ni kupiga mizinga 21 kwa amiri jeshi huko dar.....na amiri jeshi mwingine huko Zanzibar.....amiri jeshi kwa kawaida huwa mmoja ...mjitahidi kuwaondolea wanajeshi kero hii" - Warioba