Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

Mkuu ukiamua kuunda simu kwa mfano wako ili isifanane na nyingine haimaanishi utaiunda kwa umbo lako. Mfano ukaunda simu yenye umbo la sambusa au embe, hii ni kwa ulivyotaka wewe iwe kuzitofautisha na zilizopo ila ni simu kwa kwa fano wako sio kiummbo ila kifikra.
 
ivi wewe binadamu unamchukuliaje?
 
nadhani hilo la kwanza nshalijibu!
lichunguze vizuri.

hoja yako ya pili sipingi ndio wapo na kuhusu mazingira nimesemea kwa watu wanaoamini ktk mungu kwa kuangalia yalivyo ktk mpangilio yalivyo ndio wazo hilo likaibuka.
tatu ni.
uthibitisho wa kuwepo kwake.
uthibitisho wa yeye ku creat everything.
We umeeleza tu kuwa inashindikana kuhoji in reality lakini haukufafanua hasa ni kipi kinachozui kuhoji.

Hoja yako ya pili inanitatiza,yani watu baada ya kushindwa kujua mwanzo wa kila kitu waje kuibuka watu tu na kubuni kuwa aliyefanya hivyo vitu ni mungu na wakaeleza sifa zake na watu wakakubali tu na ndiyo hadi leo?

Hapa ndiyo penye utata sana katika mada hizi,labda niseme kwamba nikisema tu nianze kuthibitisha sidhani kama nitazungumza jambo jipya ambalo halijawahi kuelezwa humu pindi watu wakijaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Tatizo sio uthibitisho ila kwanza tungewekana sawa katika hali ambayo hata nikisema natoa uthibitisho itaweza kueleweka, na ndiyo maana nilianza kwa kukuomba ujaribu kutoa mfano wa jinsi ya kuthibitisha kutokana na jambo husika.
 
Ma
Majibu ya maswali 1,4 na 7 ni kama ifuatavyo

1:Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hamna kiumbe chochote duniani kinachofanana nae

4:Mungu atawapatia kama zawadi wale wacha Mungu haswaa au wale ambao wamehifadhi juzuu 30 kichwan kuchagua watu 70 kuingia nao peponi

7:Faida za bangi ni kama ifuatavyo

a :Bangi ina kemikali inayoitwa tetrahydrocannabiol ambayo inaweza kuzuia kifafa

b:Bangi inapunguza presha ya jicho(intraocular pressure)

c:Bangi inakemikali inayoitwa Cannabidiol ambayo inapunguza kuenea kwa kansa mwilini

d:Huweza kutibu magonjwa ya utumbo(inflammatory bowel diseases)

e:Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli kitaalamu inaitwa parkinsonism

f:Huongeza uwezo wa kubuni vitu,uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza

g:Huongeza matumizi ya sukari mwilini
Mabikira sabini kuingia nao peponi,unaona watu swala 5 ni wanajitahidi ili wakifa wapewe mademu wa kuduu huko peponi.si maneno yangu ni kuran,,usiibadilishe kuran mkuu.
 
Akili uliyonayo ndio itakayo amua ukae katka level gani iwe level ya uungu au level ya kawaida ya mtu

Ila kiuhalisia huyo mungu wala hayupo na haya maneno si rahisi kuyaelewa kwa mtu wa kawaida ukifika kwenye level fulani ndio utagungua kumbe there is no god at all

Kazi kubwa iliyopo ni kuvuka mind bridge kwenda kwenye level za juu katika sound na light ukufika katika level hizo ndio utagundua hakuna mungu
 
Level gani wewe uliyopo? Mkiulizwa maswali ya msingi hapa hamna majibu na kukimbilia kusema kushindwa kujibu hakufanyi kuwepo Mungu,unajua hata mtoto jinsi anavyoyaona yeye maisha ni tofauti na mtu mzima,hivyo yawezekana nawe hiyo level uliyojiweka ambayo inakufanyi ugundue hakuna Mungu inakuwa sawa na mtoto jinsi anavyoyaelewa yeye maisha.

Mtoto anakula,anavaa na huduma zengine zote ila hajui wala kuwaza ni kipi kinafanyika hadi zinapatikana hizo huduma! Michezo ndio jambo kubwa kwa mtoto.
 
Hata nikikuambia level gani niliyopo huwezi sadiki ila nipo katika level

Nipo ktk level ya Kuweza ku comand both spiritual creature awe mkristo au muislam au demon au jini na ku obey order yoyote nitakayowaamrisha

Maana ngoja nikupe level kwa ufupi

1.Earth
2.Emotional
3.Mind
4.Spritual
5.Mind bridge
6....
7......
8...
9....

Kwa maneno mengine ni 5D
 
Ah! Kumbe na wewe una imani hizo!

Sasa asili ya hiyo power inatoka wapi? Na unadhani ukosefu wa hiyo power ndio sababu tosha ya watu kuamini uwepo wa Mungu?
 
Majibu ya maswali 1,4 na 7 ni kama ifuatavyo

1:Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hamna kiumbe chochote duniani kinachofanana nae

4:Mungu atawapatia kama zawadi wale wacha Mungu haswaa au wale ambao wamehifadhi juzuu 30 kichwan kuchagua watu 70 kuingia nao peponi

7:Faida za bangi ni kama ifuatavyo

a :Bangi ina kemikali inayoitwa tetrahydrocannabiol ambayo inaweza kuzuia kifafa

b:Bangi inapunguza presha ya jicho(intraocular pressure)

c:Bangi inakemikali inayoitwa Cannabidiol ambayo inapunguza kuenea kwa kansa mwilini

d:Huweza kutibu magonjwa ya utumbo(inflammatory bowel diseases)

e:Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli kitaalamu inaitwa parkinsonism

f:Huongeza uwezo wa kubuni vitu,uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza

g:Huongeza matumizi ya sukari mwilini
Mkuu matumizi sas ya hiyo bangi tunavuta au tunachemsha!?
 
Hallelujah Njo Kwa Yesu Majibu utayapata yote hayo nishajiulizaga kipindi natafuta njia ........karbu mkuu kwa Yesu
 
Ah! Kumbe na wewe una imani hizo!

Sasa asili ya hiyo power inatoka wapi? Na unadhani ukosefu wa hiyo power ndio sababu tosha ya watu kuamini uwepo wa Mungu?

Mambo ya kuwa na imani ya kishetani au majini niliacha kuyakubali miaka 10 iliyopita kwa sasa sina muda kuyakubali vitu kama hivyo

Kilichobaki ni kuwasaidia ndugu zetu waliokuwa katika ulimwengu huo awe baba au mama au ndugu yoyote au jirani au mtu yoyote awe muislam au kristo au mmajusi

Hiyo power ili kuweza kuielewa ni lazima uzijue hizo level nilizokutajia hapo juu na si lazima uzikariri kama zilivyo cha msingi ni kutafuta elim kwa wanaojua wawe waganga au sheikh au mchungaji au wasoma nyota au philosopher au mtu yoyote mwenye uelewa

Tz Mbongo jitahidi kusoma elimu mbalimbali kama unataka kuelewa habari kwa kuna usikae katika box moja katka elim

Tz IQRAA Tz IQRAA

Mwenzako muhammad alikuwa anabisha kama wewe akafunga zake safari mpaka ktk Jabal Hiraa akakaa huko akikesha usiku na mchana kwakuwa alikuwa ktk utulivu akili yake ikaanza kutoka ktk level ya kawaida ikawa inapanda ikafika level za juu akaanza kwenda katika ulimwengu mwingine wa spritual mara akaona kama vitu vinakuja mwenyewe anasema alikuwa malaika Jibril akawa anambana anamwambia soma " muhammad anakataaa akabinywa mbavu binyuuu soma" muhamad anakataa mwisho akakubali akaambiwa IQRAA BISMI RABBIKA LLADHIY KHALAQ ile kuachiwa aliitoka mbio hizo

Alipofika nyumbani kwake akawa anamuambia khadija Zammilun Zammilun yaan nifunikeni nifunikeni ile ajamaliza Zile ndoto zikarudi tena akawa kama anamuona tena jibril akawaa anamuambia YAA AYUHAL MUDATHIRI.KUM FAANDIRI.WARABAKA FAKABBIR

Kwanini nimekutolea kisa cha muhammad ili ujifunze mambo mawili:-

Jambo la kwanza penda kujifunza sana maana huyo muhammad aliambiwa asome wakati alipokuwa anatoka katika ulimwengu wa kawaida kwenda kwenye spritual world akili yake ilikuwa imefika katka mind bridge ndio maana akaona aliyoyaaona na tena yakamlazisha kusoma na ww unatakiwa usome ili umuige mtume wako LAQADE KAANA LAKUM FII RASULILLAH USWATUN HASANA" Hakika mnacho kiigizo chema kwa mtume" yaan waislam wamuige mtume mambo yake

Na jambo la pili hizo level za ulimwengu zipo wala usibishe na kama huzijui basi ujue ww ndio huzifaham ndio maana muhammad alipoenda ktk lile pango baada kutafakari sana akili yake ikaruka ikaenda ktk spritual world akakutana vitu naye akaogopa

Ni muda na ww wa kuanza kufanyia kazi elimu ziliopo ktk kichwa chako sio ziwe theory bali practical ukifanya hivyo utaona na kujua mengi
 
Nilichouliza ni source ya hiyo power? Sijapinga wala kukubali chochote,halafu elimu duniani zipo nyingi hakuna mtu mwenyekuweza kuzipata elimu zote,kwahiyo unayoyajua wewe haifanyi kuwa mwengine asiyoyajua hatafuti elimu bali anaweza kuwa na elimu nyengine ambayo wewe hauna.

Mie swali langu dogo tu ni kutaka kujua chanzo asili cha hiyo power.
 
Akili
 
Majibu uliyotoa yanafanana tu na majibu, jibu sahihi ni kutoka kwa Mungu. Maadam hajawahi kuonekana basi hakuna jibu
 
Back
Top Bottom