soma historia ya timbuktu na slavery in africa halafu urudi, comment yako haijashiba.Umeandika kwa jazba mkuu,
1. wazungu ndiyo walizuia utumwa ambao ulikuwa ni biashara ya waarabu.
2. kama wazungu walidanganya uwepo wa Yesu iweje, na wao wanamuambudu mpaka leo.
3. siyo wazungu wote ni wakristo, siyo wazungu wote wanakuona wewe Sokwe,
4.dini ya kikristo ilienezwa na wazungu africa, lakini haija anzia kwa wazungu.. rejea historia
unaweza ukapitia hii page pia >>> British Involvement in the Transatlantic Slave Trade: The Abolition of Slavery ProjectUmeandika kwa jazba mkuu,
1. wazungu ndiyo walizuia utumwa ambao ulikuwa ni biashara ya waarabu.
2. kama wazungu walidanganya uwepo wa Yesu iweje, na wao wanamuambudu mpaka leo.
3. siyo wazungu wote ni wakristo, siyo wazungu wote wanakuona wewe Sokwe,
4.dini ya kikristo ilienezwa na wazungu africa, lakini haija anzia kwa wazungu.. rejea historia
duh! think big my friendMwanamke sio mtu bali ni sehemu ya mtu km ilivyo mkono wa mtu. Lakini mwanamke ni Ubavu wa mtu. Hatuwezi tukahalalisha ubavu uwe mtu eti kwa sababu kafanana na mtu
Ha ha haMmh sasa haya anaulizwa Mungu ama binadamu?
Alitengenezwa ili azae mtu ingawa yeye sio mtu kamili. Marry alimzaa yesu na huyo yesu akasema " ...kabla ya Ibrahim mimi nilikuwepo..."duh! think big my friend
mbona anazaa mtu..?
SI lazima hio hivyo selikali inapokumbwa na upunguzu kwenye recurrent expenditure na inaweza ikalazimika kukopa, na Deni ambalo linatokana kuekezwa kwenye mradi hill ni zuri kwa sababu linatengeneza economic activities ambazo itazalisha kiasi kingine cha hela.unaelewa unachokisema? deni linatokana na miradi mikubwa..
Unachokiandika hukijui kabisa, miladi ndio inahitaji pesa ila kuna mambo unapaswa uelewe hakuna nchi ambayo inazuiwa kutengeneza pesa hata wewe unaweza kuomba tenda serikalini ila tu kuna vitu lazima uzingatiwe hasa usalama wa hiyo pesa isiweze kukopiwa na kuingiza pesa isiyo halali kwenye mzunguko, kwenye uchumi pesa ni nothing kinachoangaliwa ni shughuli za uchumi ambazo nchi inaweza kuzalisha kwamba kwa kutumia hizo shughuri za kiuchumi ambazo nchi inazo inaweza kukusanya kiasi gani cha hela kufika lengo sasa hapo ndo uchumi wa nchi unapokuwa mdogo inabidi mkope pesa ama misada toka kwenye nchi zenye uchumi mkubwa. Hela unaweza ukatengeneza mengi Sana lakini kama uzalishaji na shughuli zingine za uchumi ni mdogo hazina maana mfano Zimbabwe walikuwa na mpaka na noti dola trillion moja lakini hiyo pesa unanunua mkate tu na nchi haijiwezi.miradi hiyo inahitaji hela, hela hizo inabidi tukope kwa sababu tu haturuhusiwi kuwa na mashine ya kutengenezea hela.. kwanini?
Tunakupa chance ya kuthibitisha theory ya demand and supply ni upuuzi mtupu ikizingatiwa nyie huwa mnapenda uthibitisho. Naomba uthibitishe hili dai lako.haijulikani.. mwisho wa siku wanatuletea theories za demand and supply... upuuzi mtupu
Hata wewe unaweza kuwa na hizo na ukaomba tenda ya kutengeneza pesa benki kuu ila unakidhi vigezo? Pia elewa kinachozingatiwa kwenye uchumi ni shughuli za kiuchumi ambazo zitatoa picha ya GDP ya nchi na sio idadi ya pesa.huu ni unyonyaji wao wanakaa na hizo mashine kama nani?
Wana uchumi mkubwa ndicho kinachowafanya wawe na uwezo was kutoa hayo mabilioniwao hayo mabilioni ya misaada wanayotugawia wanatoa wapi kama sio hizo hela wanazoprint watakavyo?
Hata wewe unaweza kuwa na hizo machine na ukaomba tenda ya kutengeneza pesa benki kuu ila unakidhi vigezo? Una teknolojia ya maana ya kupunguza ama kuzuia uharamia wa pesa feki?Pia elewa kinachozingatiwa kwenye uchumi ni shughuli za kiuchumi ambazo zitatoa picha ya GDP ya nchi na sio idadi ya pesa.nani amewapa mamlaka ya kukaa na hiyo mashine? wao kama nani? kwanini na sisi tusiwe nazo?? UKIRITIMBA HUU.
Huna ulijualo, ngoja nikuache.yani mimi nna mashine ya kutengeneza pesa halafu niombe tenda ya kutengeneza pesa ili iweje? wanilipe pesa? ambazo naweza nikatengeneza mwenyewe? nonsense.
itakua umefanya jambo la mbolea blaza maana unanchosha na hizo data.. next time use your mind and focus on the source of the problem.. yani wewe ni sawasawa na mtu anaefundisha jinsi ya kumsatisfy dem halafu hujui kisimi ni nini.Huna ulijualo, ngoja nikuache.
ati sio mtu kabisa!Alitengenezwa ili azae mtu ingawa yeye sio mtu kamili. Marry alimzaa yesu na huyo yesu akasema " ...kabla ya Ibrahim mimi nilikuwepo..."
Maanake marry alitumika km bahasha tu lakini mtu wa thamani alikuwa ni yesu na sio marry.
Inategemea na yapi unayofikiri bila kujali unayafikiri kwa upeo finyu au mkubwa.Upeo finyu ulionao ndio unakufanya ukomenti HIV kwa kuamini Limungu lipo
Kama lipo Liambie Lifungue account hapa JF lijibu hayo maswal hapo juu si linaweza kila kitu ?!
Kuhusu uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwanza ni wakufikirika/dhahania.Kwani unafikiri kwanini watu wanasema kuna mungu? na we we unawezaje kuthibisha usemacho kuwa hakuna mungu?
Kwahiyo kwa nilivyokuelewa ni kwamba hakuna uthibitisho kuwa yupo wala uthibitisho wa kuwa hayupo?Kuhusu uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwanza ni wakufikirika/dhahania.
pili hakuna uthibitisho wa uwepo wake.
tatu hakuna uthibitisho kwamba yeye ndio aliumba kila kitu but imekuwa ni makisio ya mwanadamu kwamba yeye ndio alifanya hivyo,najua unaweza sema uthibitisho ni biblia lkn yale ni mawazo hata wewe unaweza kuwaza na ukaandika tena bila uthibitisho wa ulichokiandika.
nne vitabu vyake au wazo lile la kuwepo kwake limetumika na baadhi ya watu kuitawala dunia/watu. hivyo ni dhahiri ametengenezwa kwa malengo fulani
ili iwe vigumu kujaji na kutaka vielelezo vya uthibitisho wake ni kusemekana kuwa hachunguziki. au naweza kusema vitabu hivyo vimeonyesha dhahiri kuwa ni mpango wa mwanadamu ndio maana tunaona mapungufu na kuleta mitafaruku.
Mungu yupo,kwa sababu wale wanaosema yupo wapo.Kwani unafikiri kwanini watu wanasema kuna mungu? na we we unawezaje kuthibisha usemacho kuwa hakuna mungu?
utakuwa ujanielewa hapo mwanzoni nadhani hebu jaribu kupasoma vizuri nlikuwa na maana kuwa yeye ni wa kufikirika hivyo kufikirika huko hakuleti uthibitisho wa uwepo wake na sio kwamba uthibitisho wake wa kuwepo wala kutokuwepo ni wa kufikirika.Kwahiyo kwa nilivyokuelewa ni kwamba hakuna uthibitisho kuwa yupo wala uthibitisho wa kuwa hayupo?