idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafuKwa wachambuzi wa katuni anamaanisha nini hapa msaada tafadhali. View attachment 1289658
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu wa katuni za wakubwa ziwe jiwe kueleweka...katuni kama za kingo zilikua konki mtu unakesha nayo, unasoma gazeti asubuh unacheka jion baada ya kuelewa katuni.Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
Umenena yapasayo mkuuAnamaanisha kuwa Mbowe haeleweki
Ha ha ha ha ha ha kisa leo kageukia kushoto? Taratibu tutaelewanaKwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
pale ujumbe unapokugusa lazima sababu zihusike, katuni ni Sanaa kila mmoja anavyoilewa... Mbona za Magufuli unazielewaga vizuri bila shida.Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
Kwa mtazamo wa kawaida Wakili Msomi unamuanaje Mbowe kuhusu uelekeo wake na hatma ya siasa za upinzani hasa CHADEMA.?Anamaanisha kuwa Mbowe haeleweki. Anaelekea huku, anatazama kule. Anaelekea huku, anaonyesha kule….
Mbowe ajiuzulu tu, kazi yake ni kurudisha nyuma maendeleo ya upinzani.CHADEMA kinahitaji mtazamo mpya ikiwezekana akili mpya.
Huu mwendo wanaoenda nao sioni mwelekeo wao zaidi ya kuwa busy bodies.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakawii kumwita Masudi ACT wazalendoHa ha ha ha ha ha kisa leo kageukia kushoto? Taratibu tutaelewana
Anajifanyisha huyo,Utamu wa katuni za wakubwa ziwe jiwe kueleweka...katuni kama za kingo zilikua konki mtu unakesha nayo, unasoma gazeti asubuh unacheka jion baada ya kuelewa katuni.
Kazi nzur sana mzee kipanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Mbowe haeleweki. Ni mwanasiasa kamili ambaye anaijua vyema biblia, bastola na kitabu ambavyo vyote huvitumia kwa pamoja na kwa ustadi mkubwa.Kwa mtazamo wa kawaida Wakili Msomi unamuanaje Mbowe kuhusu uelekeo wake na hatma ya siasa za upinzani hasa CHADEMA.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka vyema kabisa!Mkuu, Mbowe haeleweki. Ni mwanasiasa kamili ambaye anaijua vyema biblia, bastola na kitabu ambavyo vyote huvitumia kwa pamoja na kwa ustadi mkubwa.
Msailiti na muhasi sky eclat naona dawa inamuingia taratibu, nilimwambia afumbue macho kabaki pekeake sasa hv naona taratibu anaanza kujielewa