Masudi Kipanya: Amemaanisha nini hapa ufafanuzi tafadhali

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
28,510
Points
2,000

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
28,510 2,000

batmanwafez

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
269
Points
500

batmanwafez

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
269 500
Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
Utamu wa katuni za wakubwa ziwe jiwe kueleweka...katuni kama za kingo zilikua konki mtu unakesha nayo, unasoma gazeti asubuh unacheka jion baada ya kuelewa katuni.

Kazi nzur sana mzee kipanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
23,047
Points
2,000

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
23,047 2,000
Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
pale ujumbe unapokugusa lazima sababu zihusike, katuni ni Sanaa kila mmoja anavyoilewa... Mbona za Magufuli unazielewaga vizuri bila shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
9,282
Points
2,000

Petro E. Mselewa

Verified Member
Joined Dec 27, 2012
9,282 2,000
Kwa mtazamo wa kawaida Wakili Msomi unamuanaje Mbowe kuhusu uelekeo wake na hatma ya siasa za upinzani hasa CHADEMA.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Mbowe haeleweki. Ni mwanasiasa kamili ambaye anaijua vyema biblia, bastola na kitabu ambavyo vyote huvitumia kwa pamoja na kwa ustadi mkubwa.
 

Forum statistics

Threads 1,391,821
Members 528,473
Posts 34,090,469
Top