Masudi Kipanya: Amemaanisha nini hapa ufafanuzi tafadhali

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Kwa wachambuzi wa katuni anamaanisha nini hapa msaada tafadhali.
IMG_20191212_124108.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
Utamu wa katuni za wakubwa ziwe jiwe kueleweka...katuni kama za kingo zilikua konki mtu unakesha nayo, unasoma gazeti asubuh unacheka jion baada ya kuelewa katuni.

Kazi nzur sana mzee kipanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida katuni inatakiwa iwe rahisi kuilewa, ukiona inakuwa ngumu kuilewa ujue mchoraji ameanza kusahau taaluma yake na anatakiwa kustaafu
pale ujumbe unapokugusa lazima sababu zihusike, katuni ni Sanaa kila mmoja anavyoilewa... Mbona za Magufuli unazielewaga vizuri bila shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom