Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
mi nimeenda tawini jana tu, hawakuniambia kulipia wala nini...wamenipa form wakasema kesho yaani leo itakuwa tayari...ila mpaka sasa nimejaribu naona hamna kitu...
Utakapoona kila mwezi wanapunguza 1000 kwenye akaunti yako jua sababu ndo hii. Walisahau kukuambia!