farooq2013
Member
- Aug 11, 2013
- 98
- 16
wanajanvi naomba msada kulink card yangu na CRDB visa na paypal. sio mgeni sana kwa mambo hays ila nimekwama cz nilikua natumia mastercard ya NBC kwenye paypal bila tatitizo ila huku nilohamia hamna tawi la NBC ispokua kuna wakala wa CRDB ilibidi niende nitengeneze card ya CRDB na nimejaza form ya kunuruhusu kutuitumia online na nimeletewa secure access code nikaenda kwenye site yao nikaweka password yangu. ninapojaribu kuilink na pay pal naletewa error 'We were unable to verify this card. Please review and make sure that the information you entered is correct. Your card billing address needs to match your PayPal street address.[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]' kama ni billing address nimeweka ilokua sawa
[/FONT]na nikijaribu kufanya shopping kupitia site nyengine kama dhgate au aliexpress napata error 'Refused. Your card was not verified by the bank. Please contact customer service of the issuing bank, or choose another card.
nimewapigia customer care wamesema watafanya marekebisho na nitapata msg kwenye simu yangu lkn leo ya 4 cjaona msg ya aina yoyote.
kwaio mwenye ujuzi kwali hili anisaidie au kama kuna m2 anayo namba ya simu ya mfanya kazi CRDB atakaeweza kunisaidia anitumie japo kwenye PM. kama nilivokwambieni huku nilipo yupo wakala na hana ujuzi wa mambo haya na cjapata msada ndio mana nikaja hapa kwaio ushauri wa kutembelea offisi nisingeupendelea kwa sasa hivi