Master of Arts with Education (Geography Stream)

Ahmet

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
1,537
3,404
Habari wanajamii forums

Naomba kama Kuna mtu anaifahamu vizuri programu tajwa hapo juu anipe ujuzi kidogo maana nimekuwa interested kuisoma.
Nimeona inatolewa DUCE, MUCE na sasa MUM nako wameanza kuifundisha.
-je chuo kipi ni kuzuri kuisoma hiyo program?
-usomaje wake ni wa namna gani katika chuo husika? Assessment, lecturing, projects za nje ya darasani, dissertation n.k
-kuna chuo kingine kinachotoa hiyo program zaidi ya hivyo nilivyotaja?
-Muda naoweza kutumia kumaliza hiyo program.

Mimi ni mhitimu wa B.Ed psychology (Geography and History),
Pia ni mtumishi wa Umma (Tutorial assistant)
Asante..
 
Kaka nenda kasome hiyo ni nzuri sana itakusaidia sana hiyo pale udsm wanatoa hiyo kozi itakufaa sana
 
Hizo details unazotaka umezikosa kwenye website za vyuo husika?
 
Back
Top Bottom