Ushauri kuhusu kusoma masters

Ushauri kuhusu kusoma masters

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,671
Reaction score
3,600
Ndugu zangu wanajamvi mimi ni muhitimu wa chuo kikuu, nimemaliza masomo yangu ya degree ya kwanza mwaka huu 2019.Nilikuwa nasoma ualimu na kufanikiwa kupata GPA ya 4.2 (Teaching subjects ni geography and history)

Kwa ufaulu huo nilioupata nilitamani sana kuendelea na masters ili kujitengenezea nafasi zaidi huko mbeleni, lakin nahofu isije nikapoteza muda kwa kusoma bila kuwa na direction.

ofcourse nilitamani sana kusoma program hizi
-MA in geography and environmental management (UDSM /OUT),
MSC NARAM (UDSM/UDOM)
MA in DEMOGRAPHY (UDOM/UDSM)
MA Education (DUCE/MUCE)
MA Applied Social Psychology (UDSM) lakini shida kubwa ni hofu ya kutokuwa na thamani hata ukimaliza masters.

Kama kuna ushauri au msaada juu ya programs au kufanya kitu chengine,niko tayari kuupokea...
Naombeni ushauri wenu
Asanteni
 
Daaa mdogo wangu sijajua unataka usome hiyo Master kwa lengo lipi,kwani hakunaga mshahara wa Master endapo ukiajiriwa serikalini hasa kwa kada ya Ualimu. Siku izi Masters ni kupoteza mda. Hiyo degree 1 inatosha kwa sasa ningekushauri uingie mtaani kupambana utapoteza mda na pesa zako aafu utarudi mtaani na kukuta wenzako wako mbali. Ni heri urudi kusoma baada ya kuona matunda ya degree yako. Mimi nmemaliza SUA na nmeajiliwa serikalini wapo wenye Masters wengi tu lakini kimasirahi hamna kitu.
 
Asant Sana mdau, nmekupata vyema Sana, ushauri mzuri
 
Daaa mdogo wangu sijajua unataka usome hiyo Master kwa lengo lipi,kwani hakunaga mshahara wa Master endapo ukiajiriwa serikalini hasa kwa kada ya Ualimu. Siku izi Masters ni kupoteza mda. Hiyo degree 1 inatosha kwa sasa ningekushauri uingie mtaani kupambana utapoteza mda na pesa zako aafu utarudi mtaani na kukuta wenzako wako mbali. Ni heri urudi kusoma baada ya kuona matunda ya degree yako. Mimi nmemaliza SUA na nmeajiliwa serikalini wapo wenye Masters wengi tu lakini kimasirahi hamna kitu.
Kwa GPA yako ya bachelor, Fanya masters ya masomo uliyosomea. GPA hyo itakusaidia kuhamia kufundisha vyuoni na salary itaongezeka maana vyuoni wanaitambua masters. Ila ukitoka lazma upambane kweli kweli usitegemee kama kuna chuo au serikali itakutafuta yenyewe
 
Masters inapendeza kwenye CV, inakupa chances zaidi za kupambana hasa kwenye International organisations. Waajiri wengi huchukua hiyo kama sifa ya kuwa kwenye management level.

Kama una resources na bado ni kijana jipige tu. Elewa tu essays pass mark ni 55% si ile 40% ya undergraduate
 
Ndugu zangu wanajamvi Mimi Ni muhitimu wa chuo kimoja Cha serikali, nimemaliza masomo yangu ya degree ya kwanza mwaka huu 2019.Nilikuwa nasoma ualimu (BED) na kufanikiwa kupata GPA ya 4.2 (Teaching subjects Ni geography and history)

Kwa ufaulu huo nilioupata nilitamani Sana kuendelea na master ili kujitengenezea nafasi zaidi huko mbeleni, lakin nahofu isije nikapoteza muda kwa kusoma bila kuwa na direction.

ofcourse nilitamani sana kusoma MA in geography and environmental management (UDSM), MSC NARAM au MA in DEMOGRAPHY (UDOM/UDSM) au hata MA in applied social psychology (UDSM) lakin shida kubwa ni hofu ya kutokuwa na thamani hata ukimaliza master.

Kama kuna ushauri au msaada juu ya programs au kufanya kitu chengine,niko tayari kuupokea...
Naombeni ushauri wenu
Asanteni
Kuna Brother alishauri kama mtu ana Lengo la kusoma kufikia PhD basi aendelee na Masters but ikiwa hana Lengo hilo atapoteza rasirimali Pesa na Muda sababu Return yake Kwa hapa Bongo haitakuwa kubwa kama unavyodhania PIA akasema itapendeza akisoma Masters akiwa na kazi yake aidha iwe Amejiajiri au Ameajiriwa itampunguzia baadhi ya Stress.
 
Kwa GPA yako ya bachelor, Fanya masters ya masomo uliyosomea. GPA hyo itakusaidia kuhamia kufundisha vyuoni na salary itaongezeka maana vyuoni wanaitambua masters. Ila ukitoka lazma upambane kweli kweli usitegemee kama kuna chuo au serikali itakutafuta yenyewe
Hapa kwenye masomo yangu niliosomea unamaanisha zile teaching subjects
 
Masters inapendeza kwenye CV, inakupa chances zaidi za kupambana hasa kwenye International organisations. Waajiri wengi huchukua hiyo kama sifa ya kuwa kwenye management level.

Kama una resources na bado ni kijana jipige tu. Wlewa tu essays pass mark ni 55% si ile 40% ya undergraduate
Ila hapo 55 sio kazi rahisi hata kidogo, ila hakuna kigumu coz watu Kila siku wanasoma
 
Kuna Brother alishauri kama mtu ana Lengo la kusoma kufikia PhD basi aendelee na Masters but ikiwa hana Lengo hilo atapoteza rasirimali Pesa na Muda sababu Return yake Kwa hapa Bongo haitakuwa kubwa kama unavyodhania PIA akasema itapendeza akisoma Masters akiwa na kazi yake aidha iwe Amejiajiri au Ameajiriwa itampunguzia baadhi ya Stress.
Nimekuelewa Sana, of course kama huna kazi au chanzo cha pesa ni ngumu Sana.
 
Ndugu zangu wanajamvi Mimi Ni muhitimu wa chuo kimoja Cha serikali, nimemaliza masomo yangu ya degree ya kwanza mwaka huu 2019.Nilikuwa nasoma ualimu (BED) na kufanikiwa kupata GPA ya 4.2 (Teaching subjects Ni geography and history)

Kwa ufaulu huo nilioupata nilitamani Sana kuendelea na master ili kujitengenezea nafasi zaidi huko mbeleni, lakin nahofu isije nikapoteza muda kwa kusoma bila kuwa na direction.

ofcourse nilitamani sana kusoma MA in geography and environmental management (UDSM), MSC NARAM au MA in DEMOGRAPHY (UDOM/UDSM) au hata MA in applied social psychology (UDSM) lakin shida kubwa ni hofu ya kutokuwa na thamani hata ukimaliza master.

Kama kuna ushauri au msaada juu ya programs au kufanya kitu chengine,niko tayari kuupokea...
Naombeni ushauri wenu
Asanteni
Umeoa, una watoto, umejenga, unasafiri, una biashara, (retails, shamba, mifugo, services) kama unayo, utamwachia nani asimamie na kuendeleza kama huna kwanini unaenda kusoma zaidi. HOJA YA UNAENDANKUSOMA NN INAWEZA ISIWE HOJA NZITO KIKUBWA NI UNAPUNGUKIWA NA NN KWENYE ELIMU ILIYONAYO
 
Kn watu wengi wanapenda kusema kauli kama izi ila kuna afisa elimu mmoja aliwai niambia nenda kasome aliyesoma kasoma,na mm namwambia huyo ndugu yetu akasome asipende kuuliza watu maana wengi wanatoa negative view
 
Sina hivyo vyote, nilitaka kusoma ili kujiongezea nafasi sehemu mbalimbali Kama vile kufundisha hata teachers college. Kwakeli me ni kijana wa miaka 25 na ndio kwanza nmemaliza chuo hapo July mwaka huu
 
Asant kwa ushauri nzuri, ntaufanyia kazi, Mungu akubariki sana
 
Sina hivyo vyote, nilitaka kusoma ili kujiongezea nafasi sehemu mbalimbali Kama vile kufundisha hata teachers college. Kwakeli me ni kijana wa miaka 25 na ndio kwanza nmemaliza chuo hapo July mwaka huu
Kwa hiyo we umejikita kwenye kuajiriwa tu haya njoo chemba nikupe scholarship UK
 
Ndugu zangu wanajamvi Mimi Ni muhitimu wa chuo kimoja Cha serikali, nimemaliza masomo yangu ya degree ya kwanza mwaka huu 2019.Nilikuwa nasoma ualimu (BED) na kufanikiwa kupata GPA ya 4.2 (Teaching subjects Ni geography and history)

Kwa ufaulu huo nilioupata nilitamani Sana kuendelea na master ili kujitengenezea nafasi zaidi huko mbeleni, lakin nahofu isije nikapoteza muda kwa kusoma bila kuwa na direction.

ofcourse nilitamani sana kusoma MA in geography and environmental management (UDSM), MSC NARAM au MA in DEMOGRAPHY (UDOM/UDSM) au hata MA in applied social psychology (UDSM) lakin shida kubwa ni hofu ya kutokuwa na thamani hata ukimaliza master.

Kama kuna ushauri au msaada juu ya programs au kufanya kitu chengine,niko tayari kuupokea...
Naombeni ushauri wenu
Asanteni
KWA GPA HIYO KAMA UNA ADA JIENDELEZE UTAFUTE KAZI KAMA TUTORIAL ASSISTANTS VYUONI, WAKATI UNASIKILIZIA AJIRA ZA MAGUFULI

MTAANI UTACHINA
 
Back
Top Bottom