I hope Obama ankielewa Kiswahili hivyo ataielewa vizuri hiyo "Tamu ya wali ni nazi................................................!."Ha ha ha,mzee wa "raha ya wali ni nazi,eeh!raha ya supu mandazi eeh!"lol!
Ni kweli,inategemea na tukio lenyewe.Kama kutakuwepo na wasanii mbali mbali maybe kutoka culture na nchi tofauti,basi si big deal.Yani it depends on the occassion.Kwasasa bado hatujajuwa huo "mkutano maalum" unahusu nini.Pengine inawezekana hata Obama asiwepo,yupo busy na kampeni...maybe kina fitty cent,again,it depends on the occassion.I hope Obama ankielewa Kiswahili hivyo ataielewa vizuri hiyo "Tamu ya wali ni nazi................................................!."
Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.Ni kweli,inategemea na tukio lenyewe.Kama kutakuwepo na wasanii mbali mbali maybe kutoka culture na nchi tofauti,basi si big deal.Yani it depends on the occassion.Kwasasa bado hatujajuwa huo "mkutano maalum" unahusu nini.Pengine inawezekana hata Obama asiwepo,yupo busy na kampeni...maybe kina fitty cent,again,it depends on the occassion.
Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.
Mkuu sidhani kama kuna Mila (TRADITION) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Tradition wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.correction!!
mila=tradition
utamaduni=culture
Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.
This work could be easily done by waziri husika wa michezo,