Massanja Mkandamizaji

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,687
4,071
Wizi
mtupuuuuuuuuuuuuuuuuu!

Simu Iliita...

MUME: Hello baby!

MKE: Hello Sweetie!
MUME: Leo nitachelewa
kurudi...
MKE: Nishajua uko kwa
vijanamke vyako, wewe ni
malaya sana.
Sijui ilikuaje nilikukubali,
nakuchukia kama nini,
sikupendi.
MUME: Nipo BENKI hapa. MKE: Haaaaah, ulijuaje kama
sina hela baby... Nitolee laki
1, nakupenda sana,
nakuandalia maji ya kuoga
Sweetie... Pls usisahau
kuniletea na chipsi kuku, Mwaaaah!

MUME: Ni BENKI ya
Kuchangia Damu MKE: Nyooooooooh!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom