Hii ilikuwa kali ya mwaka jana

Bundewe

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
400
141
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend!
Mume: Niko BENKI hapa
Mke: Haa! Ulijuaje kama cna hela, nitolee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutengea maji yakuoga sweety. Ucsahau hizo pesa ninunulie na chips kuku mmwaaaa!
Mume: Ni BENKI YA KUCHANGIA DAMU
Mke: Nyoooo waambie wakutoe yote
 
Mimi kali ilikua hii hapa:

Mtoto aliulizwa swali na mwalimu wake, hivi huko kwenu nani mdogo kuliko wote? dogo akajibu ni mama kwasababu mpaka leo bado anavuliwa ch**pi na baba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom