Massage. . . .


Aiseee,...
Umeanza kutoa hii huduma au ?
home ni ngumu sana kuipata.
 
he he he, mnamaliza saa 5 mchana
bado mkatize zoezi kwa emejensi
na kujifunza si unajua? kuna kukosea na kurudia mpaka kieleweke........... kwa vile ni mara ya kwanza, nimejiandaa kabisa kwa hizo imejensi............ nategemea za kumwaga tu
 
Mi nafanyaga ya kulipia mara kwa mara, sehemu ya heshima sio ya "kuchokozana". Tatizo nalala kabla hajamaliza. Ndio anapatia au?
 
Mi nafanyaga ya kulipia mara kwa mara, sehemu ya heshima sio ya "kuchokozana". Tatizo nalala kabla hajamaliza. Ndio anapatia au?
Kabisa. .
Ukiishia kulala jua akili na mwili vimerelax haswa. Ni nzuri sana kwa afya.
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

Inaongeza upendo pia...
 

...'tantra' massage hii sasa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…