Massage Parlours/madanguro

Thamani ya uchi wa mwanamke hapa dar huondolewa na pesa tu.
 

Kwanza nasikitika kipindi umeileta hii mada nilikuwa bado sijajiunga JF, pili usemacho kinaweza kuwa kweli lakini siyo massage parlours zote zinafanya uchafu huo. Kwa jinsi ulivyoielezea nadiriki kusema hii habari yako si ya kweli bali ni stori zile zile za vijiweni...na wewe ukaamuwa kuileta hapa.
 

Uko sahihi rafiki yangu...mleta mada ni muongo sana! Mimi binafsi nimeshafika pale na kufanyiwa massage zaidi ya mara tatu na sijawahi kuona wala kuwahisi kama wanafanya uchafu huo. Mleta mada kaongeza chumvi ili kufurahisha baraza.
 

Kwa ufupi hakuna professional salon yeyote inayoweza kuruhusu upuuzi huo...hayo mambo yapo kwenye visalon vya uswahilini hasa vichochoroni tena siyo zote ni baadhi tu. Mleta mada ana lake jambo.
 
Kwa ufupi hakuna professional salon yeyote inayoweza kuruhusu upuuzi huo...hayo mambo yapo kwenye visalon vya uswahilini hasa vichochoroni tena siyo zote ni baadhi tu. Mleta mada ana lake jambo.

% kubwa za massage parlours ni madanguro huo Ndiyo ukweli
 

PAYE wanalipa?
 
Mkuu inawezekana ukawa unabishana na wamiliki wa madanguro....maana unawachafulia biashara yao....hahahahaaaaa....

Kweli huyo jamaa ni mdau wa hiyo biznes ndomana ana tokwa na povu
 
Mkuu inawezekana ukawa unabishana na wamiliki wa madanguro....maana unawachafulia biashara yao....hahahahaaaaa....

Mkuu,sikatai kuwa huo upuuzi haupo...upo ila siyo kwenye hizi professional salon' hayo mambo utakutananayo kwenye massage parlours au salon za uswahilini kabisa...nako siyo salon zote wanafanya huo upuuzi ila ni baadhi tu.

Pili nataka kukueleza kitu kingine cha muhimu sana...asilimia kubwa ya wateja wa massage (nazungumzia wanaume) wanapokuwa massage room wao au yeye ndiye anaekuwa wa kwanza kumsumbua staff wa kike(muhudumu) na hii siyo kwenye salon za vichochoroni tu bali hata kwenye professional salon pia. Ila am sure kwenye professional salon ni vigumu sana staff wake akukubalie huo uchafu mkiwa huko chumbani sana sana mtaishia kuongea na kupeana namba za simu na biashara inaishia hapo. Ila uko uswahilini wahudumu wa hizo massage parlours wanakuwa wepesi wa kuvua chupi kutokana na mazingira yake ya kazi ukizingatia mishahara yao inakuwa ni midogo sana plus hawana elimu wa hiyo kazi kichwani.
 
Kweli huyo jamaa ni mdau wa hiyo biznes ndomana ana tokwa na povu

Ha ha haaaa unanifurahisha sana!! Ni kweli mimi ni mdau wa mambo ya salon na urembo kwa ujumla. Ila mimi nakuomba wewe tuende na fact na siyo kuongea kwa hisia tu. Na kila nikikusoma between the line nahisi ujawahi kufanyiwa hiyo massage na kama umewahi kufanyiwa basi ni huko upuuzini kwa wenzio ambako usikute wewe ndiye ulikuwa wa kwanza kumlalamikia muhudumu kimapenzi na baada ya kufanikiwa umekuja kumtangazia hapa ilihali wewe ndiye ulimshawishi kwa maneno na ahadi kem kem.
 
Miikion hair sijui wanachokata ni nini.. Wanaume wanawasumbua wadada thenwakipewa mbunye wanaume hao wao wanakuja hapa kulia lia . Si unguruwe huu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…