Massage Parlours/madanguro


Mkuu Abdulhalim,

Umasikini ndio chanzo cha mambo kama haya. Ukitaka mambo haya yaishe kwenye jamii, njoo na mipango endelevu ya kuondoa umasikini, otherwise tutaendelea kulaumu kumomonyoka kwa maadili, ukahaba, matumizi ya madawa ya kulevya n.k. Umasikini ndiye adui yetu namba moja kwa sasa.

Tiba
 

Mkuu,

Naona hicho kifungu kimepitwa na wakati kwani prostitution haifanywi na wanawake tu hata wanaume mashoga wanafanya.!!!!

Tiba
 
Mume wqngu alikuwa na tatizo la bega 'cold shoulder' akaambiwa na doctor afanyiwe massage mara 3-4 atapata nafuu pamoja na kumeza dawa. Kaenda kwenye massage parlour kinondoni vituko alivovikuta ikabidi akimbie kaomba nimkande mimi kanunua liniment.Hivi tuendako mbona hatari?
 
Naomba wanajamiiforum mliongeree hili ikiwezekana serikali iweke mashariti vyumba viwekewe CCTV kuzuia uasherati unaofanyika humo.
 
Walikubaka? Walikuita? Uliwalipa au walikupa huduma bure?
 
Kama hakuna kamba inayotuvuta kwenda huko...na ni utashi wa mtu mwenyewe na nye.ge zake kuna haja gani serikali kuingia gharama za kipuuzi kama hizo...wazinzi hawazuiliki labda wakatwe vifanyio ndio wataacha....watu wanadinyana hadi BBA live kabisa na familia yake na ulimwengu mzima ukimshuhudia sembuse hao wa sebuleni....
 
Kama hakuna kamba inayotuvuta kwenda huko...na ni utashi watu wanadinyama hadi BBA live ulimwengu ukishuhudia sembuse hao wa sebuleni....

Mmmh haya but imagine mke wako kaenda hii saloon au mtoto wako mdogo akaenda kwa nia nzuri tu
 
Wakimaliza huko waweke na kwenye hoteli na loji zote.....
 
Remember that is bss man! Wanalipa kodi hao!
Chet cha ndoa uliwahi ona kinapelekwa saloon?

Think BiG
 
Naomba wanajamiiforum mliongeree hili ikiwezekana serikali iweke mashariti vyumba viwekewe CCTV kuzuia uasherati unaofanyika humo.
kweli nyingi ni madanguro ili sio zote!. Lengo la kufanyiwa massage is for relaxation, wengine kwenye kukamilisha relaxation zao, ndio pamoja na kufanyiwa huduma hizo za ziada na zinalipiwa ziada!.

Haija haja serikali kuzifunga, bali sasa zipewe leseni rasmi za brothel za zilipe kodi!, kazi hiyo ambayo ndio the oldest professional itambuliwe rasmi, ili itozwe kodi, haswa kwa kuzingatia hiyo ndio fani inayoongoza kwa ajira nyingi kabisa kuliko ajira nyingine yoyote, sio tuu Tanzania, bali dunia nzima!, biashara hii ipo hadi Vatican City!, sijui tuu kuhusu Mecca!.

Unaweza kunisoma zaid, nikiizungumzia hapa.

Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe

Na kuhusu saloon za massage, nimezizungumza hapa

Massage Saloon (Massage Parlour) -
.

Massage Parlours/madanguro - Page 4 - JamiiForums | The Home ...
Pasco
 
Zipo maeneo gani vile??haya mambo sio kuhadithiwa
 
Tafadhali fafanua kwa faida ya wasomaji! HUU NI MSEMO MZITO SANA
WoS

Umepotea sana humu jf!.

Zipo ndoa zimeweza kudumu kufuatia ma baba kupata huduma hizi elsewhere na kurejea nyumbani kwa ajili ya kudumidha tuu ndoa, yaani togetherness kwa ajili ya watoto but not for marital services!.

Pasco
 
Binafsi Napata ukakasi kumuelewa ndugu yangu Shy....kwanini hili analitetea wakati yeye mwenyewe anajua kabisa kuwa lipo kinyume na maadili na vile vile hata kwenye vitabu vya dini limekemewa....kuwa yeye mteja mkubwa wa hawa viumbe hakuufanyi ulimwengu mzima kuuhalalisha ukahaba...nadhani ndugu yangu anaongozwa na hisia zaidi kutetea hii pasipo kuangalia uhalisia na madahara yake kwa taifa kwa ujumla wake...sidhani kama yuko radhi kuona binti yake mpendwa anaingia kwenye biashara hii achilia mbali ndugu zake wa karibu.....anaifurahia huduma kwa kuwa watu anaowakuta kule ni watu ambao hafahamiani nao....sidhani kama atafurahia endapo ataingia kwenye hizi meseji paloo alafu akiagiza huduma yake analetewa dada yake au mwanae wa kike ambaye alimuaga nyumbani kuwa anaenda shule.....ukahaba ulikuwapo tangu Enzi za mitume,haujaanza sasa lakini pamoja na ukongwe huo MUNGU hajawahi kuuhalalisha eti kwa kuwa inawasaidia watu kuendesha maisha yao.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…