Massage Parlours/madanguro


Kwa hiyo sisi Ndiyo tutawaokota wafanyakazi corner bar ningejua nisingemleta mke wangu hapo kwenu
 
Pink Massage Parlour Sinza,kwanza wadada wachafuuuu...wananuka kwapa haalafu wanaomba hela haooooo

Ahsante sana, sasa Salon kama hiyo na yenye wahudumu kama hao ndio ndugu yako MRANGI anapenda kwenda kufanyiwa massage yake. Anasahau kuwa kunguni na chawa wanapenda kuishi na kuzaliana sehemu kama hizo...na ki kubwa kinachompeleka huko ni hao Ntombe Nkale.
 
Kwa hiyo sisi Ndiyo tutawaokota wafanyakazi corner bar ningejua nisingemleta mke wangu hapo kwenu

Ha ha haaa...Lol!! Munisamehe bure jamani' ulimi uliteleza na sintorudia tena. Ha ha haaaa
 
Ha ha haaa...Lol!! Munisamehe bure jamani' ulimi uliteleza na sintorudia tena. Ha ha haaaa

Ngoja nikutumie picha, attachment ya saloon yko hyo ndani
Ah usijali asante kwa kutupondaaa
 


"Kupigishwa Ngunga" ndo kufanywaje tena mkuu??? Kibunango
 
Last edited by a moderator:
We nae hilo lilikuwa zali lako sio kila mtu anapewa na umembwela unakuja kusema kwa watu waliokubuhu wanakucheck tu na hiko ndio rafiki zako walikuona unamaganzi mpaka mgongo unauma we umri wako ni wa kuumwa mgongo kweli. Umeelekezwa kwa wajuvi na sister du aliona shida zako ndio akakuambia mpeleke mgonga nyundo wa tegeta uone kama ataambiwa atoe 20,000.

 

Sounds like a whole day activity😳! The thing is mazingira yetu hayatoi nafasi ya ngozi kuwa nzuri hata baada ya hizo treatment.... Maji tunayoogea, sabuni, hali ya hewa etc. Yaweza kuwa ni wastage of money kwa mtazamo wangu...
 
Sounds like a whole day activity😳! The thing is mazingira yetu hayatoi nafasi ya ngozi kuwa nzuri hata baada ya hizo treatment.... Maji tunayoogea, sabuni, hali ya hewa etc. Yaweza kuwa ni wastage of money kwa mtazamo wangu...

Nimependa uliposema huo ni mtizamo wako...pia nakubaliana na wewe kuwa mazingira tunayoishi yanaweza kusababisha hiyo treatment isifanye kazi. Lakini tambuwa hata uko Ulaya na America inakotokea hii product nako mazingira yao hayagandi. What i know napenda kukuhakikishia kuwa hiyo treatment inaendana na mazingira yote na zipo aina tatu na kila moja na ngozi yake na matatizo. Ipo ya kutumia kwenye kipindi cha joto na ipo ya kutumia kwenye kipindi cha baridi.

Lakini kubwa kabisa kabla ya kuanza huduma hiyo kuna mashine maalumu ambayo itapima kwanza ngozi yako kujuwa ni aina gani ya treatment ambayo itaendana na ngozi yako...zipo za oil skin,dry skin na balanced skin. Mkuu amini maneno yangu kwani niko kwenye hii game tokea kitambo sana...na siko hapa kujipigia debe kibiashara ila niko hapa kutoa elimu stahiki kuhusiana na mambo ya Salon na urembo kwa ujumla.

Ukitaka kuiona hiyo mashine ya kupimia ngozi yako kabla ya huduma basi nitaitupia hapa. Karibu tuendelee.
 
wazee wa massage,,,ila kama kuna mtu yoyote massage iliyoji ficha ficha...maana nimekula sana pweza nataka nikapunguze protini huko
 
Wewe jamaa ni mgeni hapa Duniani?
Ina maana huujui kuhusu Massage? Duuh!
 
Wewe binti hebu ni pm nijue location ya salon yako nije nipate Huduma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…