Massage ni hatari kwa ndoa

Massage ni hatari kwa ndoa

Na walivyo na viiisaaa hao wadada wa massage haaaooo...utakandwakandwa hadi ikweta usipokuwa makini
 
nilidhani message, hayo mambo kwa ajili ya wanaume wa dar
 
Ila hao wanawake wana makusudi sana, sina hata hamu nao
 
Siku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
Usiite starehe za kijinga, wakat ndo zinazotupeleka huko,jaribu kumfanyia mumeo masaji za kimalaya kama atatoka...nakutania cute b dint take it serious
 
kwa mheshimiwa wajina titanic vingunguti pia kuna huduma nzuri sana halafu wakarimu sana
 
Mamii me nikimkuta wala sitaongea kitu nitaomba huduma hiyo pia nifanyiwe na mhudumu wa kiume nayeye aone ,naamini lazma aombe po tukafanyiane nyumbani
Unadhani atakubali. Sembuse ukutwe unachorwa tuu kucha anawaka kama Bomu la nuclear, ndio kupapaswa mashavu dia?
 
Back
Top Bottom