ya malindi zanzibar.Ipi sasa, Ya ZNZ au hiyo ya DAR?
mpotezee huyo hana lolote.Ushaanza unoko, utakufa na kijiba cha roho
she is fully booked.PM yangu mbona hujibu? Au imepotea njia?
she is fully booked.
Ushaanza unoko, utakufa na kijiba cha roho
mpotezee huyo hana lolote.
we fanya fasta chukua coastal air ya saa moja jioni uje unguja unipe ma relaxation.
basi mpenzi yaishe......Usinihusu wewe?
Unataka kuishi au hutaki?
habari ndo hiyo........halafu anachaji dola 200 per hr.Kumbe....
kipi?Umekumbuka ulichoambiwa na Dokta?
nimekuangukia unaringa sio?kumbe unafurahia kiukweli?
Hutaniwi?
nimekuangukia unaringa sio?
wee hata unilalie, sijali naendelea na gazeti langu.