Massage~~~~Anayetaka huduma hii ani-PM itakufuata hadi home

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Nipo Kibishara zaidi, ninao mabinti waliofunzwa kufanya kazi hiyo ili kujiajiri na kujiongezea kipato.
Wale wanaofikiria kungonoka wasipoteze muda wao kuni-PM~~~ Huduma hiyo haipo

Last edited by a moderator:

Sasa massage na ngono si dugu moja? Ni kama chenga kwenye soka, ingawa kufungana ndo lengo la msingi.
 
Last edited by a moderator:
Nipo Kibishara zaidi, ninao mabinti waliofunzwa kufanya kazi hiyo ili kujiajiri na kujiongezea kipato.
Wale wanaofikiria kungonoka wasipoteze muda wao kuni-PM~~~ Huduma hiyo haipo

bibie mi niko NDALA-KIGOMA huku mpakani na rwanda....niandae sh ngapi waje hao wahudumu
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom