Masoud Kipanya is wrong about SUA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masoud Kipanya is wrong about SUA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kuruptkingpin, Jul 28, 2009.

 1. k

  kuruptkingpin Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a statement of the sort. Masoud, like many Tanzanians, are ignorant of the curriculum, even degree programs offered at SUA. The original BSc Agriculture of SUA offered in 1980s, had specializations and final year students used to specialize in different fields including Agricultural Economics. People like Prof. Anna Tibaijuka graduated from SUA with BSc Agriculture with specialization in economics and today she is leading UNHABITAT. Since the 1990s SUA has been a degree of MSc. in Agricultural Economics. Recently, SUA started degree programs in Agricultural Economics and Agribusiness and an MBA with biase to agriculture. My dear Masoud agriculture is a sector, not farming. The degree of agriculture offered by SUA considers all components of agriculture, from engineering, economics, communication, processing etc.

  Being a graduate of SUA does not mean that you are committed to a farm or the likes. Even more, people have natural talents. Masoud never attended a university offering a degree in "cartoonology", but he is doing fine with his toons. Likewise, Tracy chapman has a degree in Agriculture but chose the music career. One of the best music producers in Tanzania Hermes B, is graduate of SUA. Do you remember Prof Madundo Mtambo, a man who shocked Simba SC in the 1980s? A SUA graduate. Graduates of SUA have prospered in different fields (not just banking) including politics where you have people like Prof. Msolla, David Mathayo, Hawa Ghasia, Jumanne Maghembe etc.

  The secret is, financial institutions that employ student from SUA are impressed by their perfomances, and thats not just CRDB. PRIDE Tanzania is proud os SUA graduates, so is FINCA and NMB. Afterall, all those people employed in Tanzanian banks are not graduates of BCom, or finance, or Banking. Most of them have degrees and they undergo inhouse training. The best ones prosper, like the SUA graduate you see behind the counter. Be warned that SUA graduates are doing fine in agriculture itself. A good example is Shambani graduates, a company formed and owned by young SUA graduates. I dont believe that Masoud's father-in-law has a degree in agriculture? I gues he own farmms in Mbeya...au hii ndio Bongo?
   
 2. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masoud had to think Twice!
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Banking sector is a multidiscplinary institution, they not only employ graduates with BCom or BA Finance but also engineers, agriculturists etc. This is because some banks issues loans in various projects like Irrigation, road constructions etc and these kinds of projects will need people who can value the projcts before issuing loans. That's how enginees et al are employed in banks!
   
 4. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Masudi mwenyewe naskia kaishia form 3 kwahiyo vitu complex kama hivi ni vigumu kuvielewa.
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hapa hapana. Masoudi hakumaanisha mlivyo ainisha hapo mwanzo. Ni kweli mnayo sema kuhusu SUA ila yeye alitaka kuonyesha jinsi uozo wa system yetu ulivyo kwenye cases za ajira. Alitumia tuu SUA kama mfano pengine inaweza isiwe moja kwa moja lakini kwenye ile katuni alikuwa na ujumbe mzito mzuri tu. Tusimhukumu moja kwa moja kwenye hili. Actually katuni zake nyingi ni very creative na zinafundisha.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ndo maaana hata system za mabank zikilala zinalala jumla mtu kasomea mizizi SUA unamwajili kitengo cha IT kwenye bank wapi na wapi nyie nenda hapo NBC angalia system zao zilivyo za long time mtu hajui IT anagusa gusa ikizimika ndo jumla siku nzima hakuna kazi tumeona hii na hili lipo kila ukienda unaambiwa system hazijaamka.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  thibibisha!!!otherwise this is udaku
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  you are absolute right FIDEL,ulisoma mambo ya udongo nenda kawe bwanashamba na mambo ya kilimo kwanza ndo saizi yao..to me this is just misallocation ya proffesionalism
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  you are right mkuu.To me he is the best ever cartonist in TZ kwa sasa na siku zijazo
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  them what is the contribution of this to the poor rural farmers of this country ???nothing absolute nothing..i meet with the guys in one of the forums in Nairobi ,it is just imagination and syphoning money from donors ...no spill over effect to poor farmers
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hehehe mkuu Kigogo ukiangalia kwa undani nina marafiki zangu nawafahamu wapo kwenye mabank haya wanafanya kazi ambazo hawajasomea kama huyu kasomea Mbegu pale SUA eti ananiambia yupo IT bank duh nilishika kichwa chini nikaamua kumtukana kabisa watu tunapata taabu huduma kwenye mabank kumbe wanaajili watu ambao wanaenda kujifunzia hapo hapo.
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  KWELI UKIANGALIA HAWAJUI, kilimo na IT wapi na wapi bana, aaaarrrrrrrghhhh.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ndo hapo sasa mtu kasomea IT anaenda kuwa Bwana shamba wapi na wapi wakuu?
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  They say if you live in a glasshouse, don't throw stones.

  Masoud Kipanya yeye mwenyewe ame graduate university gani?
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  he was right people!
  .......IT IS MAN'S MISS-ALLOCATION OF RESOURCES!the most dangerous situation of which the gvt must think twice
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  waambie shemeji!upo?
   
 17. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Masoud is not wrong, he is damn right on the money.

  Nyie mnaangalia kama ni kuidharau SUA, lakini nitakuambieni kitu kimoja. Masudi wa Kipanya ni MwanaSanaa, na anachokieleza ni kuwa huyu aliyesoma Kilimo, kakosa kazi iwe ni Wizarani au Wilayani kwa kuwa hakuna mpango bora wa kutumia ujuzi na elimu yake na hivyo anaishia kwenda kufanya kazi katika sekta nyingine.

  Serikali inalia "Kilimo Kwanza", lakini haitoi ajira kwa Mabwana Shamba wala kuthamini ujuzi na usomi wao, wachilia maoni yao, sasa wafanyeje?

  Ndipo wanapochukua kazi nyingine si kwa hiari bali ni kutokana na ukweli kuwa hakuna ajira na wataalamu na fani zao kama Kilimo, Uvuvu, Ufugaji wanapuuzwa na serikali.

  Je katika ajira Milioni 1 tulizoahidiwa na Serikali ya awamu ya nne, ni Mabwana/Mabibi Shamba wangapi wanahitajika?

  Ikiwa Daktari wa meno Mtwangi kaacha fani na kuanza kujishughulisha na kompyuta kutokana na kutothaminiwa au kutopewa kazi na Wizara mama, je tutamlaumu Masud au Mtwangi?
   
 18. GP

  GP JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tupo shem!, [​IMG]
  aisee inasikitisha sana.
  ila kitu kimoja cha ukweli kabisa bongo bana NJAA KALI asikwambie mtu.
  mfano mtu kamaliza chuo. kakaa mtaani mwaka mzima hana kazi, mjomba wake yuko huko kwenye benki kweli ataacha kumchukua na kwenda kumpachika pale azuge zuge?
  some time tusiwalaumu saaaana, ila NJAA KALI bongo utakuta mtu mwalimu lakini badala akafundishe utamkuta anafanya kazi pale benki. na sio benki tu, hata huko customer cares za makampuni ya simu tuna washikaji zetu wana masters lakini wako wanapokea pokea simu pale, Yes wanaganga njaa.
   
 19. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nadhani uliyeleta mada hapa hukujua lugha ya picha ambayo wenzetu hawa wanatumia!

  Labda, ulitaka aweke kitu gani hasa ili ujumbe ufike?
  Labda alimaanisha kuwa nchi inalia njaa kila mwaka, uwekezaji na ujasiriamali katika sekta ya kilimo hakuna, sio kuwa wataalamu hawapo, ila hawatumiki ipasavyo nk, nk!
   
 20. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  I am against you all. SUA inatoa wataalamu wa aina mbalimbali, for instance Economics, Rural Sociology........Graduate kama huyo anafit mahali kama bank. Msiwe malimbukeni wa mitazamo hasi (-)......
   
Loading...