Baba Wawili 2012
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 413
- 336
Natumai wote ni wazima.
Binafsi sijapendezwa na katuni iliyochorwa jana katika gazeti la Mwananchi kama ambavyo huwa inachorwa na Bwana Masoud.
Ki ukweli ukiiangalia kwa makini utagundua ina "Matusi" na waliochorwa katika katuni hiyo ni viongozi wa Taifa hili. Nadhani Mhariri wa gazeti la Mwananchi ni vyema wakaweka mipaka katika katuni zao. Ili kulinda heshima ya gazeti lao.
Mandla.
Sasa wewe ulitaka awe kama wasanii wengine wa kitanzania ambao akili zao zinaishia mtaani tu!? Ukitaka kuwa msanii mzuri ni lazima uende mbali sana, usisahau KP naye ana hisia hivyo watu wakifanya ujinga ni lazima awaonyeshe ujinga wao!Kaenda mbali sana
Khaa!! Hawa jamaa hata mimi nawashangaa. hawajui kama ukiwa unavua kwa kutumia ndoano lazima ukunje kidogo kidole bila hivyo hupati samaki :teeth:Basi kachore wewe.. kwani kidole cha kati maana yake nini
Mbona mimi sijelewa.....?
Wewe ni kama huyo nywele nyeusi, hajaelewa mwenzake anamaana gani na hilo dole la kati! Dole lake kajielekezea! Mwenzake kaelekeza kunakotakiwa
Mbona mimi sijelewa.....?
Mbona mimi sijelewa.....?