Maslahi ya waislam ni yapi hapa tanzania?

Well said,

Ikiwa unafikiri ni rahisi kutoa tamko kuwakataza waislamu inabidi ufikiri vile vile kuwakataza Maaskofu, Mapdre wanaotoa matamko yaliyosheheni ugomvi, bias and irrelevant!

Siyo wakasema waislamu noma wakisema wakristo wanasifiwa ..lol...

Besides, Madai ya waislamu yachunguzwe yasipuuzwe..kuna tatizo gani kuunda tume huru kuchunguza madai ya kuonewa kwa waislamu Tanzania since indepedence if we really believe in justce?

Huu upuuzi wa kusifia waG.. na kupuuza madai ya msingi kwa kejeli hauta solve problem yeyote..ila tutapambana hadi kieleweke..hata kama ni vizazi na vizazi...justice must prevail

Naomba tusipotezeane muda hapa, mada ni NI YAPI MASLAHI YA WAISLAMU HAPA TANZANIA?
Kama hakuna wa kuyaelezea hayo maslahi ya waislamu hapa akae kimya kabisa, hatutaki taifa la watu wanaopayukapayuka kama bata.
 
Najua maana ya neno maslahi,na nina hakika hamjanyimwa haki zenu kutokana na dini yenu,bali kukosa vigezo muhimu ambavyo vingewapa hayo mnayohitaji.Tanzania kwa asilimia kubwa kuna usawa katika utoaji haki na kama haupo si kwa sababu mtu ni mwislamu bali kwa sababu nyingine kama rushwa nk.Katiba haiji kuwapa nafasi sawa makazini,acheni ndoto za ajabu,hakuna katiba itakayompa mtu asiye na vigezo wajibu fulani,sahau kabisaaaaaaaaa.Mimi sijajaribu kuonyesha kuwa waislamu ni malofa,hivyo ndo mnavyojifikiria na ndo maana mnakuwa hamko realistic na kile mnachokidai.

Cracy idea, kwahiyo tangu uhuru hakuna waislamu malawyers wanaofaa kuwa majaji? ndio maana wamekuwa wakristu kwakuwa wamesoma sana?

Katika bunge letu hakuna waislamu wenye qualification ndio maana asimilia 75% ya waziri ni wakristo? give me a break!

Hii nchi wacha ilipuke tu kuna watu wanafikiri upupu?
 
Naomba tusipotezeane muda hapa, mada ni NI YAPI MASLAHI YA WAISLAMU HAPA TANZANIA?
Kama hakuna wa kuyaelezea hayo maslahi ya waislamu hapa akae kimya kabisa, hatutaki taifa la watu wanaopayukapayuka kama bata.

Maslahi ya waislamu ni:-
1. Mgawanyo nusu kwa nusu wa madaraka katika kazi za serikali..kwakuwa miaka nenda rudi 75% ya wakristo did not bring any valu to the nation zaidi ya ufisadi na ujinga ..siasa za kiwendawazimu...
 
Ni ukweli usiofichika kuwa watu wawili wakikaa pamoja lazima vipaumbele vitatofautiana sembuse wakiwa na imani tofauti yaani waislamu na wakristo.

Maslahi ya Waislam yanafungamana na imani, hivyo ni lazima yatatofautiana na dini nyenginezo. Kwa mfano waislam wanadai kuwepo kwa mahakama ya kadhi (Mahakama hii inatambulika kikatiba) ambayo itasaidia kutatua migogoro yao ya ndoa na mirathi, wengi wanaopinga suala hili ni wakristo na wanapinga bila kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu wanachokipinga. Wengi tunakumbuka kilichotokea mwembechai miaka ile, ni dhahiri uchochezi wa kanisa ulipelekea watu wasio na hatia kuuwawa, Msikiti mkuu wa Arusha ulivyopigwa mawe hivi majuzi na wafuasi wa chama fulani etc

Haki inayodaiwa na waislam ni kulitaka kanisa lisiingilie/ lisijihusishe na maamuzi ya kiserikali 'Ya Ceasar wamuachie Ceasar'.
 
@mozza. nakupa pole kwa sababu ile janaj ya kuwagawa waislam kwa misingi ya usiasa kali na poa imeisha.Wote kwa pamoja hata wale ambao walko kimya tunahitaji mfumo kristu ukome.Ukikoma tu mfumo kristu basi haki kwa wote itapatikana.
Sasa hivi shule za kata ni mkombozi sana wa wanyonge wote ambao walikuwa wanabaguliwa katika elimu kwa maksudi.Ndio maana akina Slaa walizipinga sana na wanaojiita wanaharakati akina Ananilea Nkya kwa sababu wanajua sasa zinawaamsha hata waliolala. Tangia uhuru shule zilbaki ni zilezile tu wakati watu wanaongezeka.Well done for these kata schools
 
waache waendelee kulumbana sisi tunapiga kitabu na kuchanja mbuga kwenda kwenye maendeleo ya katiba mpya na serikali mpya.
 
waache waendelee kulumbana sisi tunapiga kitabu na kuchanja mbuga kwenda kwenye maendeleo ya katiba mpya na serikali mpya.

Of course katiba nasi tunaendelea na mchakato kuhakikisha katika katiba hiyo mambo ya mgawo wa madaraka kwa haki yanazingatiwa..
 
Cracy idea, kwahiyo tangu uhuru hakuna waislamu malawyers wanaofaa kuwa majaji? ndio maana wamekuwa wakristu kwakuwa wamesoma sana?

Katika bunge letu hakuna waislamu wenye qualification ndio maana asimilia 75% ya waziri ni wakristo? give me a break!

Hii nchi wacha ilipuke tu kuna watu wanafikiri upupu?

Mambo ya majaji yametoka wapi tena,kwani tulikuwa hatuna majaji waislamu,tumekuwa na Rais mwislamu,katibu mkuu wa OAU Salim ni mwislamu,Dr Asha Migiro ni mwislamu,walikuwa na vigezo.......hawakudai hizo nafasi kwa kuwa wao ni waislamu,VIGEZO vyao ndo vilivyo wafikisha hapo.Najua wapo waislamu wenye qualification na tunawaona kila mahali na tunawafurahia kama watanzania wenzetu.
Hii nchi haitalipuka,mtalipuka nyie,najua ndo mnachotaka,kwa kuwa kuna watu wenye fikra kama zako,kuua si ishu tunaelewa....ila waislamu wenye busara na uelewa wataendelea kuwa wa manufaa kwenye hii nchi,na tutawaunga mkono,hatutawaunga wasio na vigezo.
 
Maslahi ya waislamu ni:-
1. Mgawanyo nusu kwa nusu wa madaraka katika kazi za serikali..kwakuwa miaka nenda rudi 75% ya wakristo did not bring any valu to the nation zaidi ya ufisadi na ujinga ..siasa za kiwendawazimu...

Shule ndio mkombozi wa kila kitu, kwa taarifa yako, waislamu ndio wanaomiliki uchumi wa Tanzani, na ndio matajili kuliko tabaka lolote, kuhusu ufisadi wewe hakuna unachokijuwa zaidi ya kubwabwaja kama bata, au labda umekaririshwa sentensi fulani kichwani mwako, Rostam Aziz, Jeetu Patel, Tanil Somaiya hawa wote ni waislamu na wanaongoza kwa ufisadi.
Aga khan ni moja ya hospital espensive Tanzania inamilikiwa na waislamu, kwa njaa yako binafsi usiifungamianishe na dini, kama wazazi wako walikimbia shule kazi yao ikawa kunywa kahawa na kucheza bao, basi pole. nasisitiza uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa unamilikiwa na waislamu, lakini waislamu hao hawana ugonjwa wa mahakama ya kadhi wala oic. kama wewe unadhani waislamu ni wale tu wanaolala misikitini mchana kutwa pole sana, hakuna unalolijuwa. tena unaishi dunia ya kale.
 
Of course katiba nasi tunaendelea na mchakato kuhakikisha katika katiba hiyo mambo ya mgawo wa madaraka kwa haki yanazingatiwa..

Can't wait for the new constitution!! There will be lots of surprises!
God Have Mercy on us.
 
kuna mabwege wengi JF wanajiona bora sana na ukirsto wao wanatukana waislam watakavyo sababu wamepata sehemu ya kutukania, muislam mmoja akikosea kitu unatukwana Uslam wote nimeona post nyingi watu wanatoa matusi tu, hivi ukiristu ndio dini bora ya watu makini wasomi wanajua kila kitu? mbona ukiristo huna mambo mengi tu ya kishenzi tena yanafanywa na viongozi wakuu na wafuasi wanafata. twende na mifano michache tuone, Marekani sasa hivi kuna LESBIANS BISHOP na wanaongoza ibada kama kawaida nakutajia wawili
1,REV, MARY DOUGLAS GLASSPOOL
2.CHRISTIANS JEFFERTS
hawa ni MASKOFU wanawake wasagaji, kinachosikitisha zaidi nitaje kwa uchache MAASKOFU MASHOGA
1.GENE ROBINSON wa new hampshire
2,ANTONIO FEDERICI ni Catholic yeye anapenda ice cream sana kwenye kissing
3,EDDIE LONG mmarekani mweusi mbeba vyuma ni Baptist church
4.MERVN CASTLE Anglican church of southern africa wa cape town
5,DR JEFFREY JOHN Anglican wa Wales wapo wengi sana, September 21 2010 gazeti la BILD la ujerumani ukurasa wa mbele kabisa limetoa pìcha za Harusi ya waziri wa mambo ya nje wa ujerumani GUIDE WESTERWELL SHOGA na mwanaume mwenziè mchumba wake wa siku nyingi MICHAEL MRONZ, wote ni WAKIRSTO safi. LUTHERAN CHURCH IN AMERICA said it would consinder GAY candidates for ordìnation who are committed same-SEX relationships..
 
hapa ndipo waislamu makini wanaingizwa kwenye genge la mazero bila hatia yeyote ile..... haya angalia arguments za huyu jamaa..... sijui anajua nini katika wanaojua.... i have no comment kwa hili yangu macho
 
bwana Bams, Si wakristu wengi wenye mtazamo kama wako.Nimekwambia kuwa ni katika mafundisho ya baadhi ya wakristu kuwa wasiwape uongozi waislamu.Sasa hawa hata Muislam awe mchapakazi au muadilifu namna gani watamhujumu tu.Mbona mifano iko mingi tu. Akitokea mlokole anasifiwa kwa ulokole wake.Lakini muislam mwenye kujitambua na kufuata maadili ya dini yake atapewa majina mara siasa kali ,mujahidina nk alimradi kumkatisha tamaa.Mfano ni Kigoma Malima.
Jk ameathiriwa na mfumo,japo ni kweli wengi tulikuwa na matumaini makubwa kwake laikini mfumo ndo tataizo.unasema angewaweka ndani akina Lowasa na wengine,angewezaje kufanya hivyo? Hata wale aliowapeleka mahakamani kama Profesa Mahalu bado hawajahukumiwa,au ulitaka yeye afanye kazi ya mahakama? au awaweke detention? mimi ninasema angalau amejaribu kuwapeleka mahakamani vigogo jamabo amabalo hata Nyerere hakulifanya.Kill the devil but give its due.

Kwenye hilo, kwa kiwango fulani upo sahihi. Kuna fikra kwa baadhi ya watu kuona kuwa anayefuatilia sana zile nguzo za uisilam huenda anaweza kuwa tatizo, nayo hii ni perception inayotokana na mafundisho ya baadhi ya wanaojiita mashekhe kuwa adui wa waislam ni makafir. Vyombo vya habari vya mataifa mbalimbali kutangaza sana habari zinazohusiana na ughaidi duniani ambapo maneno yanayotumika mara nyingi huwa - kikundi cha waislam wenye msimamo mkali kinachojiita ----- Mjahidina, au ----- matyrrs, kimelipua jengo fulani na kuua idadi ya watu fulani, n.k. Hii kwa watu ambao hawana uelewa mzuri wa uislam inaonekana kuwa muislam mwenye msimamo mkali ni mtu asiyewataka watu wasio waislam waishi. Cha kujiuliza, ni kwa nini enzi za akina Nyerere kulikuwa na waislam wengi tu kama walivyo leo lakini kwa nini fikra kama hizi hazikuwepo? Hapa si jambo jema kuwalaumu tu wale wanaoamini hivyo bali viongozi wa waislam ni lazima wafanye jitihada ya kuuonesha ulimwengu kuwa vikundi hivyo havipo kwaajili ya uislam bali ni wauaji sawa na maharamia. Wakazanie kuufahamisha ulimwengu mambo mema ya uislam, ndiyo maana nashangaa sana waislam wale wanaoshabikia kutumia nguvu katika jambo lolote wanalodai. Kwa kufanya vile wanapandikiza mbegu katika fikra za watu kuwa uislam unapenda vurugu. Ningekuwa nina uwezo wa kutoa maoni yangu kwa waislam, ushauri wangu ni kuwa wakati huu ni muhimu kwa waislam wote duniani kupata viongozi wenye upeo mkubwa kuliko kipindi chochote, siyo tu watakaokuwa na uwezo wa kuimarisha mahusiano na imani nyingine lakini pia watakaokuwa na uwezo wa kuondoa wingu lililopo katika mataifa mengi ambapo uislam umehusishwa na ugaidi. Kuna wakati, siku ya maadhimisho ya Set 11, nilikaa na mwarabu/muislam mmoja kwenye ndege aliyeniambia kuwa ilikuwa asafiri siku moja kabla lakini haikuwezekana licha ya kufika airport ya JF Kenedy masaa 3 kabla ya ndege kuruka kwa sababu ilibidi akaguliwe sana kuliko abiria wengine wote. Hata kama haisemwi wazi, lakini pale kilichofanywa akaguliwe sana kwanza ni mwarabu na pili ni muislam. Waliomfanyia hivyo hawakufanya vile kwa sababu ya kuuchukia uislam au uarabu wake lakini wanatumia historia kuwa magaidi wote wa Sep 11 walikuwa waislam na waarabu, na katika kutenda uovu wao walikwa wakisema wanaulinda uislam. Wamarekani japo hamchukii mwarabu au muislam, lakini wanataka usalama wao, shida iliyopo hawamjui gaidi ni yupi lakini kwa kutumia historia na takwimu, magaidi wa kujitoa mhanga karibu wote kila mara wamekuwa waislam, na zaidi waarabu. Hata kama hawawalengi waislam au waarabu wema lakini ukweli ni kuwa yule raia mwarabu muislam kufanyiwa vile sidhani kama ni jambo ambalo anaweza kulifurahia.

Wakati sisi tusio waislam tuna wajibu lakini pia viongozi wa waislam na waislam wenyewe nao wana wajibu pia kufanya kila njia kuutenganisha kabisa uislam na ugaidi. Mkumbuke pia jinsi kanisa katoliki lilivyoathirika na mauaji ya Rwanda ambapo mapadre wachache sana walihusika na ikawa aibu ya kanisa, mkumbuke kanisa katoliki lilivyoathirika kutokana na matendo ya mapadre wachache sana kuwalawiti watoto, mkumbuke wakristo waangilikana walivyoathirika na tendo la askofu mmoja tu kufungisha ndoa za mashoga - mpaka ikafika Dar watu kuwaita mashoga, 'mwangilikana huyo',. Ukiifikiria hiyo, ujiulize watu watapata picha gani unapokuwa na magaidi wamejilipua Misri, Algeria, Iraqi, Pakistan, Marekani, Spain, India, n.k., na wote wanajiita wanapigania uislam. Ni lazima watakuwepo ambao watakosa busara na kuunganisha uislam na ugaidi.
 
kuna mabwege wengi JF wanajiona bora sana na ukirsto wao wanatukana waislam watakavyo sababu wamepata sehemu ya kutukania, muislam mmoja akikosea kitu unatukwana Uslam wote nimeona post nyingi watu wanatoa matusi tu, hivi ukiristu ndio dini bora ya watu makini wasomi wanajua kila kitu? mbona ukiristo huna mambo mengi tu ya kishenzi tena yanafanywa na viongozi wakuu na wafuasi wanafata. twende na mifano michache tuone, Marekani sasa hivi kuna LESBIANS BISHOP na wanaongoza ibada kama kawaida nakutajia wawili
1,REV, MARY DOUGLAS GLASSPOOL
2.CHRISTIANS JEFFERTS
hawa ni MASKOFU wanawake wasagaji, kinachosikitisha zaidi nitaje kwa uchache MAASKOFU MASHOGA
1.GENE ROBINSON wa new hampshire
2,ANTONIO FEDERICI ni Catholic yeye anapenda ice cream sana kwenye kissing
3,EDDIE LONG mmarekani mweusi mbeba vyuma ni Baptist church
4.MERVN CASTLE Anglican church of southern africa wa cape town
5,DR JEFFREY JOHN Anglican wa Wales wapo wengi sana, September 21 2010 gazeti la BILD la ujerumani ukurasa wa mbele kabisa limetoa pìcha za Harusi ya waziri wa mambo ya nje wa ujerumani GUIDE WESTERWELL SHOGA na mwanaume mwenziè mchumba wake wa siku nyingi MICHAEL MRONZ, wote ni WAKIRSTO safi. LUTHERAN CHURCH IN AMERICA said it would consinder GAY candidates for ordìnation who are committed same-SEX relationships..

Nabwege wa kwanza ni wewe, soma topic then changia topic, mada ni hii NI YAPI MASLAHI YA WAISLAMU HAPA TANZANIA? natarajia utaorodhesha maslahi ya waislamu hapa ili tuyafahamu, kwa sababu hata mimi sipendi dhuluma.
 
Mi nafikiri hatujaelewana Ritz, hatujasema ukristo ndo dini bora wala isiyokuwa na mapungufu na watu waliopungukiwa na utukufu wa Mungu,inshort hata biblia inasema wote binadamu tumepungukiwa na utukufu wa Mungu,ndo maana sote hutubu.....Tunachozungumzia ni attitude/mitizamo ya waislamu kuhusu mambo tofauti na tunajaribu kujadili kwa kuwa yawezekana kabisa hatujui hicho mnachokidai,ndo maana mtoa hoja akauliza MASLAHI YA WAISLAMU NI YAPI HAPA TANZANIA,na sisi ndo tunachotaka kuelewa.......sasa mkitupa majibu mepesi kwenye madai magumu ndo shida inapoanza!!!
 
ukiona watu wazima wanakubaliana kwa kila jambo ujue basi akili zao zina ukungu, unadhani waislam wote wapo CCM?
si waislamu wote wapo ccm-na si wote wanakubaliana na hayo malalamiko yanayoitwa ya waislamu-ila tatzo ni kwamba a kiongoz anapotoa hoja flan,hasa wa dini-mara nyingi watu wana-generalise kuwa ni ndo matazamo wa hao/hilo kundi la huyo kiongozi-mfano-maaskof waakizungumza kitu utasikia kanisa katoliki limesema....japokuwa si wote wanaafikiana na hayo maelezo ya huyo askofu-
 
Wana JF naomba mnieleweshe kuhusu waislam wa tanzania kudai maslahi yao, Hivi wanamaanisha nini? Je ni umeme kwa waislam, maji, sewage system mijini ili waislam wasiishi na mavi kwenye makazi yao, je ni shule za kusomesha waislam peke yao, je ni kujengewa misikiti kila mtaa? je kutumia vipaza sauti kuita watu kwa ibada usiku bila kujali wagonjwa, watoto na wasiowaislam wanaoishi jirani na miskiti? Hivi mtu ukiwa mwislam unakuwa na mahitaji mengine gani ambayo binadamu wengine wasiowaislam hawaitaji? Huko nyuma tuliwahi kusema Binadamu wote ni sawa, je waislam ni binadamu zaidi ya binadamu wengine kiasi wawe na mahitaji yao tofauti?

Jmani mimi kwa kweli nafuatilia lakini sioni kitu. Ila nadhani bila shaka kilichobaki wanachotaka ni kuona hili hapa linatambuliwa na kutekelezwa....

Islam IS NOT a RELIGION, but a complete civilization with a detailed political system, religion and a legal code – the Sharia (http://www.politicalislam.com/blog/sharia-law-for-non-muslims-chapter-2-may-31-2010)

Labda hili la ku-take state control ndo wanalotaka, to be recognized not as a religion, but a complete civilized system---in political, religion and legal affairs
 
Nabwege wa kwanza ni wewe, soma topic then changia topic, mada ni hii NI YAPI MASLAHI YA WAISLAMU HAPA TANZANIA? natarajia utaorodhesha maslahi ya waislamu hapa ili tuyafahamu, kwa sababu hata mimi sipendi dhuluma.

Mimi nadhani tukitaka kuwa wakweli ni kwamba hakuna haki ya waislam wanayonyimwa kama waislam. Sasa hivi wengi wanaongelea mahakama ya kadhi lakini nijuavyo mimi ni kwamba hakuna mkristo yeyote anayekataza waislam kuwa na mahakama ya kadhi, na kama yupo, mimi nitamshangaa sana. Wakristo wanachokataa, na ukweli siyo haki, ni mahakama hiyo kughariwa na serikali kwa sababu mapato ya serikali huchangiwa na walio wakristo na wasio wakristo. Mahakama ya kadhi ni suala la kiimani siyo kijamii, kama lingekuwa ni la kijamii, nisingeona shida serikali kuchangia sehemu ya gharama ya kuiendesha. Waislam waanzishe mahakama ya kadhi kama wanataka, ni hitaji la imani yao lakini gharama zibebwe na waislam wenyewe, na pia isikiuke sheria za nchi ambazo wote kama Taifa tumeridhia.

OIC ni jumuia ya nchi za kiislam but not necessarily Islamic Republics. Ingekuwa inaruhusiwa waislam kuingia kama jamii ya waislam isingekuwa tatizo lakini hii inahitaji kuingia nchi kama Taifa. Mbaya zaidi, moja ya malengo ya jumuia hii kama yalivyochapishwa kwenye gazeti la Motomoto, enzi za utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ni kuhakikisha kuwa katika kila nchi mwananchama, mamlaka ya utawala wa juu katika nchi mwanachama inashikwa na Muislam. Sisi kama Taifa hatukubaliani na hilo, wala siyo lengo letu kama Taifa. Kiongozi wa nchi atakuwa ni yule ambaye watanzania wamemchagua bila ya kujali dini yake, kabila lake au hata eneo atakalo.

Nimeyataja haya kwa vile sijawahi kuwasikia viongozi wa waislam wakitaja mambo mengine ambayo wakristo wamewahi kupaaza sauti zao kuitaka serikali isifanye kosa la kukiuka katiba kwa kujihusisha na mambo ya imani za watu, ni haya mawili tu.
 
kuna sifa zingine mbona ujazisema CATHOLIC SEXUAL ABUSE SCANDAL, watoto wengi wameliwa tìg....ulaya, afrìca, latin america,caribbean, wewe umesoma seminary gani?

kama ambavyo mashekhe wanavyolawiti watoto wa madrasa
 
Back
Top Bottom