Maslahi ya waislam ni yapi hapa Tanzania?

Maslahi ya waislam ni yapi hapa Tanzania?

Of course katiba nasi tunaendelea na mchakato kuhakikisha katika katiba hiyo mambo ya mgawo wa madaraka kwa haki yanazingatiwa..

Madaraka yana shindanishwa kwenye majukwaa ya kutangaza sera, siyo mgao kama unavyotaka wewe, any way wazo lako zuri kwenye katiba mpya itabidi tuombe kuwe kuna nafasi za upendeleo kwa waislam au viti maalumu kwa waislam ili waislam wasiendelee kupiagania hako yao ya msingi kama ilivyokuwa kwa mama zetu Beijing:argue:
 
Wana JF naomba mnieleweshe kuhusu waislam wa tanzania kudai maslahi yao, Hivi wanamaanisha nini? Je ni umeme kwa waislam, maji, sewage system mijini ili waislam wasiishi na mavi kwenye makazi yao, je ni shule za kusomesha waislam peke yao, je ni kujengewa misikiti kila mtaa? je kutumia vipaza sauti kuita watu kwa ibada usiku bila kujali wagonjwa, watoto na wasiowaislam wanaoishi jirani na miskiti? Hivi mtu ukiwa mwislam unakuwa na mahitaji mengine gani ambayo binadamu wengine wasiowaislam hawaitaji? Huko nyuma tuliwahi kusema Binadamu wote ni sawa, je waislam ni binadamu zaidi ya binadamu wengine kiasi wawe na mahitaji yao tofauti?

1. Mahakama ya kadhi
2. Fursa sawa ya matumizi ya mali ya umma i.e fedha ningi zinatumika kwa maslahi ya kanisa mfano msimu wa xmas serikali hutenga fedha
kwa ajili ya kuchapa kadi, kununua zawadi yote ktk kusherehekea xmas
3. Fursa sawa ktk baraza la mawaziri, ukuu wa mikoa, u-dc na wakurugenzi
4. Uwezo wa kujiunga na OIC kama vatican inavyotambulika
5. Mwaka mpya wa kiislam utambuliwe kama mwaka mpya wa (gregory) kanisa unavyotambuliwa
6. etc, etc
 
Hapo kwenye RED mkuu kwahiyo unataka Bakwata ndio iwe inapeleka orodha ya waislamu kushika hizo nafasi?
Nadhani kuna tatizo la zaidi ya tunavyofikiri, huyu aliyetoa hii comment ni mtu anaewadharirisha waislamu to the maximum, nadhani siwezi kuchangia tena thread hii. nina ndugu zangu wengi waislamu wamekwenda shule kihuhakika, sasa kuchangia thread ya jinga kama hili ni kutowatendea haki rafiki zangu wa damu ambao ni waislamu. kwenye thread hii kwaherini ya kuonana. siwezi kuchangia mada na std 4 leavers. am sorry.
 
MADA HAPA NI YAPI MASLAHI YA WAISLAM WANAYODAI ? Bahati mbaya wana jf wengi ni wasomi uchwara na wenye "degree za KATA au za UPE" na secondar ya TUITION[creming] wanashindwa kuchangia mada wanatoa matusi kwa uislam. Huu ni msiba mkubwa. MADAI YA WAISLAM NI-[ingia ktk mtandao soma THE MWEMBECHAI KILLING. By hamza njozi]au tafuta hiki kitabu kipo na kinaeleza @kitu. Wana JF Panueni akili na upeo kama wasomi msiwe na akili za "KUSHIKIWA NA MAASKOFU" waislam ni weledi WAMELETA UHURU WA TANGANYIKA na wanachoongea kipo. Nawasilisha.
 
hapa ndipo waislamu makini wanaingizwa kwenye genge la mazero bila hatia yeyote ile..... haya angalia arguments za huyu jamaa..... sijui anajua nini katika wanaojua.... i have no comment kwa hili yangu macho

Unafanana na jina lako naona upo ON weka OFF, wewe ujui chochote kuhusu uislam wewe unajua muislam makini na sio makini? wewe pambana na dini yako.
 
MADA HAPA NI YAPI MASLAHI YA WAISLAM WANAYODAI ? Bahati mbaya wana jf wengi ni wasomi uchwara na wenye "degree za KATA au za UPE" na secondar ya TUITION[creming] wanashindwa kuchangia mada wanatoa matusi kwa uislam. Huu ni msiba mkubwa. MADAI YA WAISLAM NI-[ingia ktk mtandao soma THE MWEMBECHAI KILLING. By hamza njozi]au tafuta hiki kitabu kipo na kinaeleza @kitu. Wana JF Panueni akili na upeo kama wasomi msiwe na akili za "KUSHIKIWA NA MAASKOFU" waislam ni weledi WAMELETA UHURU WA TANGANYIKA na wanachoongea kipo. Nawasilisha.

Wewe ndio sifuri kabisa. badala ya kuwaelekeza watu wagoogle vitu vya kupanuwa ubongo wewe unaleta habari za mwembe chai. kazi ipo.
 
MADA HAPA NI YAPI MASLAHI YA WAISLAM WANAYODAI ? Bahati mbaya wana jf wengi ni wasomi uchwara na wenye "degree za KATA au za UPE" na secondar ya TUITION[creming] wanashindwa kuchangia mada wanatoa matusi kwa uislam. Huu ni msiba mkubwa. MADAI YA WAISLAM NI-[ingia ktk mtandao soma THE MWEMBECHAI KILLING. By hamza njozi]au tafuta hiki kitabu kipo na kinaeleza @kitu. Wana JF Panueni akili na upeo kama wasomi msiwe na akili za "KUSHIKIWA NA MAASKOFU" waislam ni weledi WAMELETA UHURU WA TANGANYIKA na wanachoongea kipo. Nawasilisha.

huu ndio usomi wako ....kama wewe ni msomi zaidi... naomba maana ya neno kwenye red .... toa upupu ....
 
MADA HAPA NI YAPI MASLAHI YA WAISLAM WANAYODAI ? Bahati mbaya wana jf wengi ni wasomi uchwara na wenye "degree za KATA au za UPE" na secondar ya TUITION[creming] wanashindwa kuchangia mada wanatoa matusi kwa uislam. Huu ni msiba mkubwa. MADAI YA WAISLAM NI-[ingia ktk mtandao soma THE MWEMBECHAI KILLING. By hamza njozi]au tafuta hiki kitabu kipo na kinaeleza @kitu. Wana JF Panueni akili na upeo kama wasomi msiwe na akili za "KUSHIKIWA NA MAASKOFU" waislam ni weledi WAMELETA UHURU WA TANGANYIKA na wanachoongea kipo. Nawasilisha.
hakuna alietoa matusi kwa uislamu-hayo madai ya waislmu hajaanza leo-tangu zamani wanalalamika kuwa wanAonewa-kipindi cha mkapa walimwandama-zamu hii naona wanamtetea jk wapo na wakristo na maaskofu-KULINGANA NA MADAI YAO YALIVYO-KWA MTU YEYOTE RATIONAL NA SENSIBLE HAWEZ WASIKILZA MAANA UKIYAANGALIA VIZURI UTAKUTA WAMEANDKA NONSENSE-CHEK LINK HI UONE WANACHOTAKA TANGU ENZI ZA MKAPA
Barua ya Halmashauri kuu ya Waislamu kwa Rais Mkapa
 
Mwalimu alisema Mwanasiasa aliyefilisika hukimbilia udini, wewe umeshindwa kuondoa umasikini nchini kwako, umeshindwa kuleta maendeleo, umeshindwa kuboresha elimu, badala yake umekuwa hodari wa kuzidisha umasikini ukikosolewa unadai unasakamwa kwa sababu ya DINI yako!?! watu wasikukosoe wakati wanaoumia ni wao na watoto wao! wewe unakula bata kwa mrija tu?!!? Lete maendeleo ongoza nchi vizuri hata wapagani watakusifia
 
<br />
<br />
Same old shit, different thread!
Ndo maana kuna 2 things; "people who viewed the thread and people who replied to the thread"... You dont have to force your self to be in the pipo who replied to the thread. Jeez!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa taarifa yako matatizo huwa hayafagiliwi chini ya kapeti, hapa JF huwa yanaongelewa na kujadiliwa, if u cant stand that...hamia TBC au "gazeti gani lile?"...au hata hamia Kenya.

We huoni kuwa waTZ wenzio(waislam) wanapandikiziwa chuki ya baadhi ya viongozi na vyama????
 
Maslahi ya waislamu ni:-
1. Mgawanyo nusu kwa nusu wa madaraka katika kazi za serikali..kwakuwa miaka nenda rudi 75% ya wakristo did not bring any valu to the nation zaidi ya ufisadi na ujinga ..siasa za kiwendawazimu...

This comment is amazing! you should first ask Allah to create you black, ignorant, poor..... claim to him/her what made you to be who you are in Tanzania,blame him to bring you in Tanzania at first place you were supposed to be born in UK, where development comes by seating in verandah, going to madrasa, marrying many wives including 9 years girls, thinking sex after death, etc,,,

You have chance to tune your MIND!
 
kama ambavyo mashekhe wanavyolawiti watoto wa madrasa

taja mashehe waliowalawiti watoto wa madrasa na mimi nikutajìe maaskofu walivyowalawiti watoto kwenye seminary,FRANCE,CROATIA.PHÌLIPPINES,ITALY,AMERICA,ARGENTINA.IRELAND,zipo nchi nyingi sana.
 
taja mashehe waliowalawiti watoto wa madrasa na mimi nikutajìe maaskofu walivyowalawiti watoto kwenye seminary,FRANCE,CROATIA.PHÌLIPPINES,ITALY,AMERICA,ARGENTINA.IRELAND,zipo nchi nyingi sana.
akili yako ina ncha kali sana...inayoashiria mwisho wa kufikiri
 
Ningefurahi sana kama post zote za kujadili dini za watu zingefutwa.
Kuna watu huwa wanaabudu shetani wanaenda kuabudu Uchi, hawa tukiwajadili hapa tutakua Tunapoteza muda!!!!
Yaani kujadili dini ya mtu ni kupoteza muda. Akija mlokole hapa akija mlokole akaanza kumjadili Mkatoliki atatoa negatives Nyingi sana Lakini Atakua anapoteza muda wake tu.
Please Tuachaneni na hoja za kuijadili dini fulani.Mtu mwenye dini yake isiyo na mapugufu ajitokeze.

kweli kabisa vivian.
Haya mambo ya dini haya kuyajadili.
Nafikiri jukwaa la dini ligawanyike mara mbili, waislamu wajadili mambo yao huko na ukristo mambo yao huko. Maana naona hizi imani mbili haziwezi kupatana.
 
This comment is amazing! you should first ask Allah to create you black, ignorant, poor..... claim to him/her what made you to be who you are in Tanzania,blame him to bring you in Tanzania at first place you were supposed to be born in UK, where development comes by seating in verandah, going to madrasa, marrying many wives including 9 years girls, thinking sex after death, etc,,,

You have chance to tune your MIND!
Na wasi wasi na ELIMU yako wewe pamoja na Bluetooth ukitaka kumjua mtu msomi au ***** ngoja kwenye maneno yake AKILI zenu pamoja na za nguruwe ni uniform kabisa.
 
Wakati Waislam wanajenga nchi wenzao wakristu wanajenga ukristu.Wazalendo kama akina Mzee Kawawa walikuwa bize wanajenga nchi hata msikitini walikuwa hawaendi,lakini wenzao akina Nyerere kila jumapili wako kanisani wakitoa michango ya hali na mali na wakati mwingine wakipeana kazi za serikali hukohuko kanisani.Waislam waliobahatika kuwemo serikalini kwa kuogopa hujuma wengine walificha majina yao halisi,ndio maana unaona majina kama Jakaya Mrisho Kikwet,Ukiwaona Ditopile Mzuzuri,Kigoma Malima,Moses Nnauye,Jenerali Ulimwengu nk.Yawezekana wengi wenu hamkujua kuwa jk ni Muislam nakama mungejua pengine hapo alipo asingefika.......
Nape Nnauye akikusikia unasema Baba yake alikua Muisilamu lazima atakupiga konzi la utosi.

NB. Nilitegemea ueleze Maslahi ya waislam ni yapi mnayolalamikia na sio bla bla
 
mi sipendi niwaombee laana kutoka kwa mwenyezimungu kwa kosa lenu hilo la kutukana waislam kwani nyie sio wa kwanza kuutukana uislam bali nawambea dua Mwenyezimungu akufahamisheni ukweli. uislam hatufundishi kutukana hata kidogo unatufundisha tabia njema na amani kama mnataka amani ivunjike msijali endeleeni kutuchokoza ipo siku mtajua kumbe tulikuwa tunachezea kaa la moto
 
taja mashehe waliowalawiti watoto wa madrasa na mimi nikutajìe maaskofu walivyowalawiti watoto kwenye seminary,FRANCE,CROATIA.PHÌLIPPINES,ITALY,AMERICA,ARGENTINA.IRELAND,zipo nchi nyingi sana.

Mwingine ni Padri Stanslaus Sala wa Kanisa Katoliki jimbo la Moshi, Parokia ya Mtakatifu Theresa Lego Muro ametuhumiwa kumlawiti mtoto wa miaka 14 kwa ahadi ya kumpa rosari na mche wa sabuni.

pencil.png
 
Nashangaa na maneno yao mengi sijawaona wakijibu swali la ni nini hasa maslahi yao hapa Tanzania.....Kwa kusoma hoja zao unajifunza mambo mawili

1.Ni watu wasiofanya utafiti na ndo maana jana kuna mmoja wao alitolea mfano wa wakristo wanavyoteswa huko Sudan na waislamu hadi kufikia nchi kugawanywa,hawajui hasa wanataka nini,kiwafaidie nini na kutoka kwa nani?Muislamu anasema wao ndo majority Tanzania,heloooo!
Sasa watu hao wenye fikra hizo inakuwa ngumu sana hata kuwa clear wanataka nini?na ndo maana wanatumika tu,kiongozi fulani akiwaambia hivi wao bila hata kufikiria mara mbili hao washaenda kuzungumza in public.....

2.Ni watu wa kuiga sana,kwakuwa nchi fulani waislamu ni nusu kwa nusu basi na Tanzania iwe hivyo???Hawaangalii misingi ya utofauti wa Tanzania na hizo nchi nyingine,hawafanyi analysis,wanabaki kuota tu na kuzungumza,siku waislamu watakapo kuwa realistic na wa kweli,watasogea mbele sana.Itafuteni elimu ya ulimwengu pia msibaki kuzungumzia mapungufu ya babu zenu,kama kielimu hampo sawa na wakristo,nendeni shule watoto wenu wawe na huo usawa mnaoutaka,lakini kwa mwendo huu mna-corrupt hata mind za watoto wenu,wanafikiri kama babu na baba zao........kila siku mnazidi kujenga chuki na mgawanyiko kwa jamii,na ndivyo ilivyo mpaka wengine wanajilipua,inaanza hivi hivi,mankuwa watu wa kulipa visasi/kulaumu wenzenu while wenzenu wanasonga mbele.

Nimeipenda comment yako...
 
Back
Top Bottom