Umenena vyema mkuu hasa la kuondoa CCM A na kuisimika CCM B.
Hii nchi ina watu wa ajabu Sana.
Urais sitalalamika kwa sababu kwangu yeyote kati ya 2 alikuwa sahihi,Hivi kweli Watz tumechagua wabunge wengi wa ccm kutosha kujenga serikali?Kweli anarudi bungeni akawe waziri mama wa ESCROW,dah TIBAIJUKA?.roho inauma sana.Nadhani tupo wengi tunawaza kutopiga kura tena.
Lete data kusapoti generalization yako. Nyie mmeleta mambo ya ukanda, udini, Uchagga na upuuzi mwingine mnafikiri Wasukuma wajinga? Kumbukeni kuwa Wasukuma tupo karibu 15% ya population nzima na mkiendelea na hii tabia ya kufufua mambo ya ukabila haitatokea rais ashinde bila kupata support yetu. Kwa hiyo nyie tukaneni lakini hiyo tabia ya kujiona nyie bora kuliko makabila mengine tayari imewa-cost na itaendelea kuwa - cost sana. Wasukuma is a sleeping giant kwenye siasa za Bongo and the scary part is the giant is beginning to awaken. Kama vipi fuateni ushauri wa Nassari mjitenge muanzishe Chagga or Northern Zone Republic!hakuna watu wakabila kama wasukuma
Pale wananchi wanaposhabikia siasa kama ushabiki wa mpira ndio hapo utokea yote tunayoyaona leo.nitabaki kuamiani kwamba Upinzani ungeleta changamoto kubwa sana katika Taifa letu hili.hila njaa imetukost .tutaendelea kuwa maskini
Jamani, lets be serious. Hivi kweli kuna mtu serious aliyedhani kuwa Tanzania itakabidhiwa kwa UKAWA? No way. Mimi sina tatizo na LOWASSA. Lakini ukweli ni kuwa hawezi kuwa rais mzuri wa Tanzania tunayoitaka. Yaani kweli watu kweli mlitegemea Mbowe awe waziri wa Fedha na Tundu Lissu Waziri Mkuu? Watanzania wana akili... Na kinachofuatia sasa ni mwanzo wa anguko kuu la CHADEMA.
hasa masukuma hovyoooo kama nyumbu kule serengeti
ni kweli lkn ameipa nguvu sana upinzani, wajipange 2020 wanaweza kuchukua wakimsimamisha mgombea mwingine, ccm kama watashinda wana changamoto sana wanatakiwa kurekebisha mambo mengi ili wananchi waanze kuiamini. Matokeo bado lakini tusubiri
Mimi ni chadema damu ila iliniuma sana mlipomkaribisha lowassa na kumtetea, nilichokifanya tarehe 25 ni kutafuta lilipo jina la ccm na kumpa tiki mcng mlimwaga ugali nikamwaga mboga ila naipenda chadema toka moyoni nipo tayari kuungana nanyi tena kwa mapambano, chadema ina majembe weng wanaoweza kuleta mabadiliko bila kutegemea watokao ccm tena wasio na uwezo wa kuongoza taifa ili.
Labda kama umechangia kwa utani hebu jiulize Tundu Lisu unamlinganisha nani ktk chama chenu?
ya kweli hayo
Leo naaminiTafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
Nimepitia post yangu ya 2015 nadhani hapa kazi tu umeionaNasubiri Hapakazi tu kwa hamu!!
Mkuu Pitia post yako ya 2015Mimi nasubiria kuona ujenzi wa reli ya kati november, pamoja na fly over na bandari ya bagamoyo!!!