Maskini Tanzania!

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,103
1,382
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu

Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)

Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne
 
Labda watanzania tumeshazoea shida na kuona kuwa tuko peponi.

Lack of exposure ni shidaaaa
 
Utaisoma namba bitch! CCM inarudi tena na sasa Magufuli atawanyoosha kisawasawa. Kwa akili zako ndogo ulitaka yule anayekunya kwenye nguo ndio awe rais wetu?? Sahau, Watanzania wamekataa mtu anayejinyea, wamemchagua mtu wa kaziTu na anaongoza kwa kura nyingi sana bado kuapishwa tu. Nilisema mimi, kamwe mabadiliko hayaletwi na wanywa viroba na wapumbavu.
 
Watanzania wanaakili sana. hawawezi kukabidhi mifugo yao kwa fisi aliyerarua mifugo hiyo eti kwa kuwa kuna kikundi cha watu kinawaaminisha kwamba fisi huyo sasa hana tena meno na kucha kwakuwa wamenufaishwa
 
Watumwa wanadai utumwa. Maskini wanadai umaskini.. Hiyo ndio karma. You get what you want.Tunarudi utumwani sababu iko wazi. mnaotaka kuendelea shauri yenu. Tujitegemee wala tusihangaike na wajinga. Ujinga ujinga tuu
 
Utaisoma namba bitch! CCM inarudi tena na sasa Magufuli atawanyoosha kisawasawa. Kwa akili zako ndogo ulitaka yule anayekunya kwenye nguo ndio awe rais wetu?? Sahau, Watanzania wamekataa mtu anayejinyea, wamemchagua mtu wa kaziTu na anaongoza kwa kura nyingi sana bado kuapishwa tu. Nilisema mimi, kamwe mabadiliko hayaletwi na wanywa viroba na wapumbavu.

Wape wape eeeh! vidonge vyao, wakimeza wakitema ni shauri yaooooooo.....tutawanyooooosha hadi washike adabu yao kudadadeki!!! chezea ccm weye!
 
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu

Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)

Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne

Msitulaumu Watanzania, tatizo UKAWA bado hamjajiandaa na hamna utayari wa kupata madaraka makubwa ya kuiongoza nchi hii.
Hii iwe nafasi ya kujipanga kimkakati, itifaki, ilani na sera na zisiwe propaganda tu kuwa mnaweza.
Vilevile kwa sasa haikuwa na maana saaaana😛😛😛 kuwaondoa CCM A na kuwaweka CCM B. Kwa kifupi zaidi ni hvy
 
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu

Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)

Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne
unfortunately huyo unayemuita mjasiriamali na risk taker ni mkamuaji tu wa maziwa bila kumpa ng'ombe majani. ni tapeli mvunaji toka umma bila kuwekeza ni mwizi wa mali ya umma na mnyonyaji. we need true entrepreneurs not trickstars.
 
Labda watanzania tumeshazoea shida na kuona kuwa tuko peponi.

Lack of exposure ni shidaaaa

shida hazitatuliwi na mafisadi.kuna viongozi wenye uwezo wa kuondoa matatizo ya wananchi wao lakini sio huyu fisadi LOWASSA na atasubiri sana
 
Utaisoma namba bitch! CCM inarudi tena na sasa Magufuli atawanyoosha kisawasawa. Kwa akili zako ndogo ulitaka yule anayekunya kwenye nguo ndio awe rais wetu?? Sahau, Watanzania wamekataa mtu anayejinyea, wamemchagua mtu wa kaziTu na anaongoza kwa kura nyingi sana bado kuapishwa tu. Nilisema mimi, kamwe mabadiliko hayaletwi na wanywa viroba na wapumbavu.

Huo ndio mwisho wa maono yako? Maendeleo yako ?? Pole
 
Back
Top Bottom